mwanang hata mm juz nimetuma nauli kagoma kuja🤣🤣🤣🤣
2026-06-26 18:54:46
66
BIN MKWABI :
Mmetixha xana wanangu
2026-06-30 06:06:29
25
Ak 3️⃣2️⃣ :
wasoma comment tujuane Kwa like hapa
2026-07-13 04:18:46
19
swaha tz :
hii sas uhuru umezidi
2026-07-10 21:16:52
13
Gospel 📯 :
Ata mimi mwenyewe juzi kati nimemtumia mwanamke nauli kala arafu kagoma kuja analeta habari kwamba wazazi wake wamesafiri kwahiyo hawezi kuacha nyumba peke yake