mungu ametenda nilisema ipo siku ulipomuibia mwenzio mume alilia kuliko ww sitosahau ilituuma sana kisha ww ulijifanya ndio bingwa wa kupenda
mwenzio alilia kuliko
mungu mkubwa
2026-06-18 14:08:19
31
Mariam Kakwaya :
sitamani kuona ndoa hii inavunjika Mungu epusha asila kwako akuna kinacho shindikana🙏
2026-06-18 12:00:27
32
Queen arbish :
sorry sister 🥰🥰
2026-06-18 20:25:56
1
Lyfaty zuberi :
Next please
2026-06-18 16:42:33
4
Linah Kimaro :
kiki
2026-06-18 18:11:34
3
Dazuu Dazuu :
movie hiyo
2026-06-18 16:44:52
5
Namangongos :
filamu hiyo
2026-06-18 16:48:56
6
Angel Zenda :
mbona bro😂😂😂
2026-06-18 16:28:55
5
minza :
movie yenu itakuwa fire mmerecod vizuri sana watu wanajua kimeumana kumbe movie
2026-06-18 18:38:49
4
Keny🌹 :
Kipenzi changu mzuri nikupendae sana, Dada angu pole! najua ndoa Ina mambo mengi sana dear ila muombe sana MUNGU alafu tafuta utulivu wa nafasi sweetheart, naweza kuelewa kua ulipofika Kuna jambo limefika mwisho ila katika utulivu utapata majibu ambayo hata hukutarajia. Nakuombea MUNGU akuvushe salama mwenzio nna miaka 13 kwenye ndoa ila MUNGU ndio anaejua, kiukweli niseme tuu ndoa inataka ujasiri sana NAKUPENDA 🥰🥰