nyimbo ya kwanza ni Leah
pili kupenda ya tatu Salome ya nne baby candy ya tano kariako ya sita nyambizi sugar Mami ya saba bijou ya nane nampenda yy sa tisa handsome ya kumi ladies free ya kumi na moja raha ya tunda ya kumi na mbili shekidee ya kumi na tatu utamu tamu ya kumi na nne ni bongo flava
2026-06-20 08:49:31
6
DJ-IQRA🇺🇬 :
My king in our game💯
2026-06-18 11:34:34
4
DJ WORST :
zali ft alikiba sijaiskikia
2026-06-18 15:13:46
6
DJ KARSAM TZ :
Rudisha account ya YouTube watu tunakosa mambo mengi
2026-06-18 13:58:34
9
MR.luxe Wigs :
Leah
2026-06-19 07:28:18
2
prizegirl1# :
Lea,,Salome,baby candy bwana weeee
2026-06-20 20:08:16
1
Zeann🇯🇵 :
Umetisha mwamba aisee hands up
2026-06-19 10:46:37
1
djdee_tz :
thedeejay🔥🔥🔥
2026-06-18 17:43:44
2
Majeed🌎 :
Kiwasheeeee🔥🔥
2026-06-18 14:05:53
1
Magotiff :
Nyambiziiii daaaah noma sanaa
2026-06-18 20:36:45
4
WheelSetupTZ :
🔥🔥🔥🔥 Noma sanaaaa
2026-06-19 09:22:35
1
dj_2face_tz🇹🇿 :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 unajua sanaa kaka
2026-06-18 12:56:03
3
metal art designer :
nakubali kg the dj
2026-06-20 12:43:54
1
Ephraim3c :
TBT za ukweli ,umenimbusha mbali sana hizi ngoma
2026-06-19 19:15:06
1
Methew Derreck :
ILA DULLY ASHUKI CHART HATA WAJE WASANII WAPYA 100 BADO OLD IS GOLD...
2026-06-19 10:51:33
1
Djay Emmatunez 42 :
mastered
2026-06-18 18:09:30
1
nassir_saka :
kg
2026-06-23 19:54:41
0
im Bob Is.. :
Aah" brin brin kila sa napokea cm, rudi nyumbani tamikaaa, Hi beby sey hi, huni faham siku faham, n.k jaama wampe heshima yake akiwa hai''
2026-06-24 17:31:19
0
Mr Tadei :
noma sana
2026-06-24 16:11:58
0
khubaidah8 :
nakubali sana
2026-06-29 21:18:19
0
_Miss Mghoi_ :
Salome.... 👌👌👌👌
2026-06-25 20:47:12
0
To see more videos from user @kgthedeejaytz, please go to the Tikwm
homepage.