@dr.kalobo: Njia za kudhibiti kiungulia (acid reflux) ni pamoja na: ✅ Kuepuka kula chakula kingi kwa mara moja, kula kidogo kidogo mara nyingi. ✅ Kuepuka vyakula vya mafuta mengi, pilipili nyingi, na vyakula vya kukaanga. ✅ Kutolala ndani ya saa 2–3 baada ya kula. ✅ Kulala kichwa kikiwa juu kidogo kuliko mwili. ✅ Kupunguza matumizi ya kahawa, pombe, soda na sigara. ✅ Kudhibiti uzito kama una uzito uliopitiliza. ✅ Kunywa maji ya kutosha kila siku. ✅ Kuepuka nguo zinazobana sana tumboni. ✅ Kupunguza msongo wa mawazo, kwani unaweza kuchochea dalili za kiungulia. ⚠️ Ikiwa kiungulia kinatokea mara kwa mara, kinaambatana na ugumu wa kumeza, chukua namba bio kwa msaada zaidi#usa #omani #afyatips #saudiarabia #oman
kalobo health care
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 11:50:32 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.kalobo, please go to the Tikwm
homepage.