@bongofive: Kupitia Podcast ya #B4TheFame Rapper @countrywizzy_tz akizungumza @el_mando_tz amefung juu ya maisha magumu waliyopitia akiwa na Rapper mwenzake @younglunya huku akidai kuwa yeye hawezi kujisifu kama alimsaidia Rapper huyo na kwa sasa @younglunya anamsaada mkubwa sana kwenye familia yake. Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive
wizzy jaribu kuwa na shukuran mzee wewe ulitoa msaada kwa lunya lkn wote mlikuwa local lkn harmonize alikusain mzee kwenye lebo ambapo uliingia kwenye mkataba lkn ukiachana na hayo mabaya ya harmonize jaribu kuweka wazi uliondoka kwakuvunja contract lkn hujatozwa hata mia lkn kulikuwa inawezekana sana harmonize kukufilis kupitia mkataba wako wa konde music jaribu kuwa na shukuran alafu jitambue
2026-06-19 03:46:25
6
Hallmen Aboud :
mchambuzi leo umepata interview session na rapper mkali
2026-06-18 21:06:23
35
mdramaboy :
wizzy country nakubaliii sanaaa mzee
2026-06-18 17:49:29
34
prince khan :
father country mkwel sanaa many appreciation
2026-06-18 17:34:31
23
rawenasky :
Ukimuangalia wizzy Unaweza kusema ni muhuni ila mimi nimekaa nae jamaa anamoyo safi sana nimekaa studio kwake na akawa ananunua chakula tunakula wote
2026-06-19 05:23:21
1
Gwavo001 :
i just love Coutry boy
2026-06-18 16:31:55
6
m@poz :
that is perfect
2026-06-18 20:28:54
3
@Poul Peter :
fact wizzy.
2026-06-18 18:45:11
6
sheby7 :
yupo sawa bro nishawai kukane 101 ukunikata bro nakubali sana 💯🔥💯 🫶
2026-06-18 16:36:36
12
Mussa BaBaZi OG :
Heshima sana
2026-06-18 16:27:15
9
iam_p02 :
kabisa kaka kama uyoo 10k uyuuu umemsaidia sanaaa kaka heshima kwakoaiseee🙏🙏