@bongofive: @countrywizzy_tz kupitia Podcast ya #B4TheFame na @el_mando_tz , @countrywizzy_tz ameeleza kwa undani maneno ya @harmonize_tz juu yake wakati akiwa #KondeGang alitakiwa kumkataa rafiki yake @younglunya @countrywizzy_tz anadai kwa sasa @harmonize_tz ni kama anajichanganya awali alikuwa akimsifia yeye kama ndio rapper namba moja na sasa hivi anamtaja @younglunya wakati alikuwa akimshauri @countrywizzy_tz amkatae na sio rapper bora. Kusikiliza mahojiano kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive