@mickyeve5: God bless this Man haki🥹❤️ #besthusbandever #Love #pregnancy #foryou #viralvideo

mickey&Eve
mickey&Eve
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 13:54:42 GMT
394656
28905
744
1463

Music

Download

Comments

troublemaker8692
.....🌸💃🍫.... :
msije sem sikuwaambia n hivi usiwai weka wazi mtu au vitu vinavokupa furaha na àman🥰
2026-06-18 15:32:52
1339
elizabethsimon874
Elizabeth Simon :
Ficha hii walimwengu sio wazuri
2026-06-18 14:30:26
555
giftymca663
Gifty MCA 0320 :
jifanye unatafuta followers umkose soon
2026-07-07 09:04:14
0
shamytz04
Boss sherry 🦚 :
huyu wangu hata kupika ajui🥺nikiumwa nikula restaurant mpaka bas 🙌nikimfundisha leo kupika next week akumbuki chochote naanza upya kumfundisha
2026-06-18 20:12:26
93
damarisbujwiga1
nyabu kidoti❤️ :
KILA MWANAMKE ANAHTAJ MWANAUME WA DIZEINI HII 👏🏻WANAWAKE HAWAPENDI HELA
2026-06-20 13:31:49
74
hemedy.mustapha79
Hemedy Mustapha :
nimefanya haya yote na bado naambiwa Sina hela
2026-06-19 11:35:27
127
phinaemmy
M❤️J🔐💕 :
usipende kuweka sanaa wazi kitu kinacho kupa furaha dunia imeharibika
2026-06-18 18:39:27
143
kiazi880
kiazi :
bare minimum?
2026-07-07 08:39:48
0
tricevetgel1
tricevetgel🌹 :
Me hata maji ya kunywa awez kunisaidia🥹
2026-06-19 10:07:13
10
blackdzu
Filo 🇹🇿 :
Ee Mungu mtunzie huyu dada , mtunze pia kwa ajili ya kijacho wao🥰🥰
2026-06-18 17:34:09
71
___amena3
Amena❤️ :
Mtunze uyu baba kwanguvu zako zote mnyenyekee jamani uwii mfiche mbali sana
2026-06-18 16:36:37
37
pretty.aneth02
Pretty Aneth :
mungu akinipa kama uyu ntazaa kila siku
2026-06-19 10:32:19
10
ves784
ves784 :
Naona wengi wengi mnamsema kisa kupost muacheni apost she is proud of wabongo tuna mentality ya kutaka kuona mtu anateseka tu milele au mnataka kila siku kusikia kua wanaume wote ni wabaya kati wanaume wazuri wapo Mama post ata mimi umenipa moyo kua wanaume wema bado wapo ongera Mungu awatunze🙏🏻❤️
2026-06-20 12:41:06
8
swaumu.salum7
Swaumu Salum :
jamni me mwenzenu mume wangu ana Fanya kazi zote za nyumbn na Wala Sina mimba Hila majelani zangu wanachukia wanasema et nimemrog inawezekana vip mwanaume kufagia uwanja na sio bule uhu jamn kumbe wapo wengi wanaume wa hi Asante mungu Kwa kunipa mume anae nipenda na kunisamin jamnisijutnkuwa nae dah mungu nituzie mume wangu🙏🙏
2026-06-19 10:02:56
22
khaithamjuma8
khaitham juma :
muombeee sana.. mume umepata🥰🥰
2026-06-19 14:24:14
5
callmekoku
KOKUSIMA♥️ :
Mungu awalindeeee mzidi kupendan na kuheshimiana
2026-06-19 07:02:40
6
maggyinno
@maggy—inno :
Vipi mmeo ni AI😂😂😂
2026-06-24 05:03:24
0
iam_momboyz
iam_momboyz :
man of the year
2026-07-06 19:34:48
0
vickyhamisi
Mrs bob :
mshkuru Mungu kipenz❤️na umtunze bila kumkwaza kuna sisi ata tuumwe unaamka amna kitu anasaidia ata kusogeza sahani unaikuta apo mpaka asubui
2026-06-19 07:34:53
6
tinatana644
tinatana :
ongera ndokwanza na mimba ya mwezi nmeambiwa niende nyumbn eti na deka sana😭😭
2026-06-19 09:01:10
35
skinbybillat
Billat..Beauty :
Allah amzidishie
2026-06-19 05:07:13
6
leilajackson44
Leila Jackson4969 :
Mimi wangu ananisaidia at sin cha mimba Wala nini ila waja sas et ushamtengeneza ila jaman walinwengu🙌🙌🙌
2026-06-19 15:11:16
8
mariammlelwa368
Mariam mlelwa :
mungu si niliomba kama huyu ukanipa kevoo
2026-06-19 05:22:54
17
user78239628329152
jbuto :
mungu nilikuomba kama uyu ndo umenipa nn hiki mm 😂
2026-06-19 03:49:33
7
To see more videos from user @mickyeve5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About