@massoudkhaifan: Ewe Allah, yale yaliyotuumiza yajalie yawe sababu ya kutukaribisha Kwako, na yale yaliyotukosesha amani yajalie yawe mwanzo wa utulivu na baraka. Tufungulie milango ya rehema Zako, utujaze nyoyo zetu yakini na matumaini, na utujaalie kheri ambayo itatufanya tusahau machungu ya yaliyopita. Hakika Wewe ni Msikivu wa dua, Mwingi wa rehema, na Mkarimu usiyewakatisha tamaa wanaokuomba #jummamubarak #fypage #viral #fyp