Namkubal kinoumah mungu wake amenijibu mambo yangu mengi sanaa
2026-06-19 02:37:41
22
Prisca Kimaro :
ameen Apostle🙏ubarikiw bab
2026-06-20 16:53:27
0
Kemmy Rwechungula Francis :
Hiki kichwa kina vitu vikubwa sana!
huwaga nasema akili alizonazo huyu mtu, uvumilivu, hekima, busara na maarifa Mungu aliyoweka ndani yake!
2026-06-19 21:34:20
13
jessy Alkwin :
ninaushuhuda jmn siwez muonglea vbya Mungu akuweke neno lako unalotuhubiria linanifungua kila leo nakunipa ujasr ipo siku ntainuka nakutoa ushuhuda .....Amen🥰🙏
2026-06-18 21:56:47
15
StEvEn AkImS :
,,,,love you so much Man of God,,,big up ❣️
2026-06-18 22:55:35
6
Ms._.vee :
Mwanaume wa nguvu 🥰
2026-06-19 06:17:34
8
chuga kama chuga..47🇰🇪 :
Nikweli namkubali sana maan mungu wake amenijb mengi sana sana
2026-06-19 05:48:43
6
Silvia Williams :
Baba angu wakiroho nakupenda sana mwenyezi Mungu akupe maisha marefu zaidi
2026-06-20 17:03:51
2
user3184227876285 :
ameni leo nimekuona live barikiwa sn mtumish
2026-06-18 20:07:36
5
ferister products :
baba tunakupenda sana sana mungu akutunze na akubariki Kila siku.
2026-06-18 20:38:15
9
ENDREW ONESMO :
hakika sana mtumishi wa Mungu
2026-06-19 05:16:54
4
Siwema Nicolas :
Aminaaa mtumishi wa mungu naamini hata mim tatizo langu lita zaafaida Amen🙏🙏🙏🙏 tunapokea upako tukiwa dodoma🙏🙏
2026-06-19 03:28:47
6
Bibile Memeto :
amen amen amen amen 👏👏👏👏
2026-06-19 10:05:08
1
Eunice shishi :
amina sana mtumishi mungu akupe maisha marefu
2026-06-19 08:41:27
2
user3248187329096 :
Ameni
2026-06-19 19:45:47
1
saphia_tunguli :
Ameen baba
2026-06-20 20:18:17
0
NDEVAULWA TZ :
Amiin💪🤲🤲🤲🙏🙏♥️❤️
2026-06-19 14:50:59
1
magdady :
amen ubalikiwe baba
2026-06-19 10:46:43
1
Agnes wazir ally :
ameen mtumishi
2026-06-18 20:00:52
5
Faima bakari :
MUNGU akupe maisha maref mtumish wa MUNGU
2026-06-19 05:13:36
3
Rosannah :
Hekima kubwa sana Mungu akutunze Mtume
2026-06-19 07:09:21
1
Mwanamvuamkono :
mungu akupe maisha marefu apostor
2026-06-19 07:03:26
1
chilekwachivulo :
Tunakupenda sana Baba❤️❤️❤️. Tumevuka mipaka na Baraka nyingi.
2026-06-19 01:08:50
1
Lemi Tito :
Amen baba
2026-06-18 19:58:41
1
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.