@gillybonny_tv: Mwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo, Zanzibar, Hamza Hassan Juma amesema kauli ya serikali kuhusu ajira imelenga kuwahamasisha vijana wa Zanzibar kujitokeza kuomba nafasi za kazi badala ya kukaa vijiweni na kulalamikia ukosefu wa ajira. Akizungumza bungeni, alisema zaidi ya asilimia 80 ya wafanyakazi katika baadhi ya sekta, ikiwemo utalii na ujenzi, ni vijana kutoka nje ya Zanzibar, jambo linaloonyesha kuwa nafasi za ajira zipo lakini vijana wengi wa Zanzibar hawazitumii ipasavyo. Aidha, amewataka vijana kujiongezea elimu na ujuzi unaohitajika katika soko la ajira ili waweze kushindana na kupata nafasi hizo. Serikali pia imeahidi kuendelea kutoa elimu kupitia mabaraza ya vijana ili kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira na kupunguza pengo lililopo kati ya vijana wa Zanzibar na wale kutoka nje ya visiwa hivyo.
Gilly Bonny Tv
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 14:19:41 GMT
Music
Download
Comments
@malik756 :
Mzee wetu unazeeka vizuri mashaallah 🥰 Allah akupe maisha marefu usemayo ni kweli
2026-06-19 05:39:13
38
Brazilero :
huyu anajitambua mashaallah
2026-06-18 20:04:51
26
Mr.Shirima :
creative thinking
2026-06-19 09:15:26
0
Allern Churz :
hilo ndio tatizo la viongozi wetu wanafiki sana
2026-06-19 10:06:54
0
Da Anna Muuza juice na urembo :
Baba mwenye Busara
2026-06-19 09:36:43
3
Minza :
Ewaaaa baba unaakili sana
2026-06-19 06:14:46
6
TURU CLASS :
Una akili San
2026-06-19 05:18:03
5
Amina wa amina :
huyu nae ameshapona teyari hongera
2026-06-19 11:02:09
1
Peace Abesiga :
mmmmm
2026-06-19 13:11:47
0
Tundayoungsamir 10 :
umeongea pwenti baba
2026-06-19 07:33:53
2
Ilham Khalid :
hamdillah allah akubarik uwe mkweli kwenye haki daima mumgu akulinde🙏
2026-06-19 11:39:43
1
user7521716100453 :
mungu akuweke baba inshallah
2026-06-19 08:55:07
1
MR.X :
Busara mwenzake Hekima...
2026-06-19 09:14:33
1
flora :
asante waambie baba
2026-06-19 07:13:09
1
nyotayamashariki :
mzee umeongea point mno vijana eaache kulalamika na hawataki kufanya kazi
2026-06-19 06:48:34
2
user7782346947487 :
Kazi zenyewe wanaweza kufanya?
2026-06-19 09:18:35
3
toxic boy💀💀 :
umezungumza fact kiongozi
2026-06-19 07:38:07
2
GEORGE :
pointi mkuu
2026-06-19 06:15:22
2
hajest jb :
swadaktaaaa
2026-06-19 10:41:45
0
godsign :
wazanzibar laini laini sana
2026-06-19 11:03:26
0
cham🥀 :
wazizabar wanafik sn
2026-06-19 11:33:29
0
Mkamba Maulid :
Ww Mzee umeongea vzr saaana mwenyezi Mungu akupatie nguvu na Afya njema ktk Maisha yako💪🏽🙏🏼
2026-06-19 13:13:33
0
mimi______gii :
Mungu akubariki 🥰
2026-06-19 12:27:14
0
Mr Bokaka :
unakitu mzee
2026-06-19 05:01:38
0
To see more videos from user @gillybonny_tv, please go to the Tikwm
homepage.