@gijoz_0: Mwanaume kunywa pepsi uwo ni umama🤣🤣🤣🤣 #tanzaniantiktok #creatorsearchinsights #swahilitiktok #viral #fyp

Gijoz
Gijoz
Open In TikTok:
Region: CD
Thursday 18 June 2026 14:32:44 GMT
766250
83048
1102
1282

Music

Download

Comments

khaleedmodal
MR HANDSOME 😎 :
uyu mbn kafanana n uncle nzala au mama ake nn
2026-06-18 20:02:21
779
ammfat07
🎭AMMFAT👑👑 :
kalikuwa kanashindwa kufuta hata mafua 😂😂
2026-06-18 21:10:31
225
menauru.kipuyo
Menauru Kipuyo :
kwani Hii ilikua ya mwaka Gani mnijibu kiroho Safi plis
2026-06-18 23:03:13
232
saidgwai5515
saidgwai🔥🔥💯 :
yaan bongo unaanza kuzeeka alaf ndo unakuja kuwa kijana😁😁😁
2026-06-21 10:52:59
47
leus.medard8
Leus :
ni nzala au macho yangu
2026-06-18 20:06:16
152
francis.zachary23
Francis Zachary23 :
12/12
2026-06-18 20:34:28
7
tmsigwatmsigwa
T Msigwa♥️ Fashion🥰♥️ :
10/10
2026-06-19 14:46:05
5
betterdayz64
🔥 :
Kama huyu ni anko zala bc sina haraka na maisha😂😂
2026-06-18 21:35:21
15
karimmenaskarim
@Karim Tz official. :
Maisha haya tunatoka mbali sana kama unamkubali zala gonga like🇹🇿🇹🇿👍👍
2026-06-18 20:09:47
46
msemwafadhil0gmail.com0
Mr Focus🚫 :
khaaaaaa😂😂😂😂 ngoja nipambane
2026-06-18 20:04:47
20
bj_kimu
DENIS_TZ🇹🇿 :
hivihuu mtotowaankozala au
2026-06-19 06:49:19
8
aju3726
Aju 👊 :
Kipindi icho ilikua bado mdog ndokwanz yuko na miaka 32 😁
2026-06-19 15:38:31
5
rehemaemmanuel556
reyy chimamy 🤩🥰 :
wahehe
2026-06-18 21:49:56
7
user90392721001705
swaiba :
ila kuna siku comment section zitanichomoa mbavu😂😂
2026-06-19 08:24:05
14
user24658530159444
@Mwasa_952 og :
Wangapi tumeona kamasi gonga like♥️😂🤣🤣😅
2026-07-04 05:55:11
6
erae1235
Erae🚴🚴 :
huyu siyo uncle nzala huyu ni mtoto wa uncle nzala, tuelewane hapo 🤣🤣🤣🤣
2026-06-19 07:10:04
7
eddyboyofficial
Eddy boe👑 :
hii clip niliionaga mwaka 2023😅
2026-06-20 20:01:02
5
its_zeropercent
𝟎% :
jamani naombeni mnisapoti mm mchekeshaji🥹🙏🙏🥹
2026-06-19 11:43:42
9
greenlife726
Green Life🥶 :
Toka anatoka mafua😝
2026-06-18 19:59:27
7
dazy011
D°A°Z°Z°Y🌴 :
Alikuwa bado anae makamasi ase 😂🥺🥺
2026-06-19 08:10:09
7
ramtoz.ke
★彡Ramtøz彡★ :
na ameanza zamani
2026-06-18 20:01:36
7
rebecca.kibox
Becky🦋❤❤ :
Tafuta hela uwe mweupeeeeee tafuta hela uwe mweupe😂😂
2026-06-18 15:23:48
8
msemwafadhil0gmail.com0
Mr Focus🚫 :
Hapa kalikua kanajikuta kanani sijui😅😅😅
2026-06-18 21:20:19
5
jumamaliga
jumamaliga :
ni anko nzala kpnd kile
2026-06-18 21:16:15
5
hairatcharles
hairatcharles🦋 :
Long timee anko nzalaa😂😂😂😂
2026-06-23 17:33:01
6
To see more videos from user @gijoz_0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About