@laurkosc: Ila sideee🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Laur kosc
Laur kosc
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 15:10:03 GMT
2338005
227170
2123
20773

Music

Download

Comments

user7885230314372
MulhatRaj :
waliokasirishwa na huyu kijana wala hakijawachekesha tujuane
2026-07-16 06:03:06
198
imanirobath312
Imani Robath :
kama naww umecheka 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama mm Tia like 👍 au❤️❤️❤️
2026-06-19 22:56:20
1984
petertemu778
Bellioner Peter Temu :
🤣🤣🤣Natamani kucheka kwa sauti lakini chumbani kwangu kuna MBU wakisikia sauti watajua nilipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-20 13:35:49
228
user51696956030528
Kenyan Ibraah :
nataka kusave hii video plz nikiwa nme kasirika nicheke🤣🤣🤣 ama MTU a like
2026-07-02 19:54:41
271
alsakekiddzy
Philosopher :
mzee kalinda miaka yote hiyo sideee anataka kubariki 😁😁😁
2026-06-19 14:25:22
477
godfreyrwegoshola
Godfrey Rwegoshola :
Mbona kama mapenzi ya jinsia moja 🥹🤣🤣🤣🤣
2026-06-19 07:19:24
243
mrmultipurpurse
MR cash love .🥰 :
Natamani kucheka kwa sauti Ila naogopa chumbani kwangu kuna mbu watajua nilipo 🥹🙌😂
2026-06-22 17:17:46
63
mkadinali052
Mwarabu mweusi :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 side kama side
2026-06-24 20:24:17
4
divinehomeessential
Divine Home essential :
Ila side 😂😂🙌
2026-07-25 06:33:52
0
brilliant.boe2
brilliant boe :
aliecheka kwa sauti kama mim like ap😁😂
2026-07-15 10:20:19
116
user758322708132
sisu :
nimechek mpaka mama ameshangaa
2026-07-02 15:14:33
52
shikumbi47
shikumbi47🇹🇿 :
10/10 nalipa chapu
2026-06-20 18:35:21
8
fajumh
dada.wa.chuo🔗🖇️ :
Nimechekaa bhn mtajua wenyewe
2026-07-24 21:04:33
9
mabala0012
ma**ba**la**001 :
mzee anaonekana alikuwa fiti sana zilikuwa zinatoka yani 💪🙌
2026-07-21 18:35:44
25
james.mwala21
James mwala :
jamn nimecheka adi nimekunya mbele ya mama mkwe
2026-07-17 16:42:08
7
user1600059929329
guna :
10/10
2026-07-14 14:40:04
7
paskary.moyo
Paskary Moyo :
kama umecheka kama Mimi like apa 👇👇👇
2026-07-17 20:35:43
24
drleonbryace
Charo 254🇰🇪 :
Naogopa kucheka baba mwenye nyumba atajua niko ndani 😂
2026-07-16 20:35:37
9
nelson.unju
Nelson Unju :
inaweza ousichekeshe video ila maneno ndio safi😂😂😂😂
2026-07-19 13:17:42
6
mr_kim_joh
𝐌𝐫_𝐤𝐢𝐦_𝐣𝐨𝐡  :
Wale tunao Angalia saa Saba usiku gonga like hapa 😁😁
2026-07-16 21:29:03
10
mcmamtonijr
Mc Mamtoni Jr :
Mzee baada ya love bite akawa strong 😂😂
2026-06-24 07:23:43
51
nizzah45
Mathix o.g :
tulio cheka tuje hapa😅😅
2026-07-22 20:59:24
8
wema.elisha
wema Elisha :
Nani amerudia Mala kumi akicheka alafu akaenda ku download akapata haiwezekani like hapa hhhh
2026-07-02 20:43:40
24
emmanuelkamwel
emmanuel kamwela kamwela :
natamani kucheka sema mbu chumbani kwaku wako wengi watanishitukia niripo
2026-07-14 21:56:51
14
suwedsaidi
Suwed Saidi :
tunaocheka 🤣🤣🤣saa 15:29 tia like🤣🤣🤣🤣🤣 tujuane
2026-06-23 12:30:14
22
To see more videos from user @laurkosc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About