@bur_honey: TUNA KUKARIBISHA KATIKA HAFLA YA 🔐🔓UFUNGUZI KUELEKEA TAMASHA KUBWA LA QASWIDA DODOMA TAREH 20/06/2026 MAHALI -UKUMBI WA VIJANA AREA C ,WAJENZ MUDA -SAA 12 MAGHRIB MPAKA SAA 5 HII NI SEHEM YA KUKUTANA NA WADAU KUKETI NAO PAMOJA HUKU UKIPATA BURUDANI ZA QASIDA TOKA KWA TIMU NZIMA.YA THANAWI CREW 🔈🔈🔈🔈🔈 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 TUNAOMBA UWE SEHEM.YA MDAU WETU WA UFUNGUZI WA KUENDEA TAMASHA KUBWA LA USIKU WA AMANI WEWE NI SEHEM MUHIMU KWETU KUJA KUKAA NA SISI JUKWAA MOJA NA KUONGEA YANAYOJIRI KUELELEKEA TAMASHA KUBWA LA USIKU WA AMANI THANAWI CREW-DODOMA KIBURUDANI ,NA NASAHA 0698270640
:
{وَمِنَالنّاسِ مَنْيَشْتَرِي لَهْوَالْحَدِيثِ}
Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua maneno ya upuuzi.
Kwamba ni miziki, na alikua Abdallah Bun Masuud (ﷺ .a) akiapa kwamba maneno ya kipuuzi ni muziki, na unapokua muziki umekusanya nyenzo kama vile gita, kinanda, ngoma, nai, zeze na mfano wa hivyo, basi uharamu wake ni mkubwa zaidi. Na wametaja baadhi ya wanachuoni kuwa nyimbo pamoja na nyenzo za kipuuzi za muziki ni haramu kwa makubaliano ya wanachuoni wote.
Basi niwajibu kujihadhari na vitu hivyo na kwa hakika imethibiti kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema ya kwamba:
(ليكونن من أمتي أقوام يستحلون الحر والحرير والخمر والمعازف)
Watatokea katika umma wangu watu (ambao) watahalalisha zinaa na hariri na pombe na ala (nyenzo) za miziki. Ameipokea Imamu Bukhari.
Nawausieni kufanya wingi wa kusoma Qur'an tukufu na kumtaja Allah Mtukufu, kama niwausiavyo kusikiliza idhaa ya Qur'an tukufu na idhaa mbalimbali za kiislam. Katika kuskiliza Qur'an kuna faida kubwa sana na nibora kuliko kusikiliza muziki.
Lakini katika ndoa inaruhusiwa kupiga dufu na kuimba nyimbo ambazo hazipelekei katika haramu wala kusifu mambo ya haramu wakati wa usiku, na hiyo ni kwa wanawake kwa ajili ya kuitangaza ndoa na kutofautisha baina ya ndoa na uzinifu kama ilivyothibiti katika Sunna kuhusu hilo kwa Mtume swalla LLahu alayhi wa sallam.
Ama ngoma haijuzu kupiga katika harusi wala katika mambo mengine bali inatosha dufu kupigwa katika harusi basi na ni kwa wanawake tu bila ya wanaume, na baada ya hayo yote (imekua kinyume) kwasababu waisilamu wengi leo wanahalalisha muziki ima ni kwa ujinga wao, na ndio wengi, ama kwa ubishi
2026-06-18 17:51:08
1
To see more videos from user @bur_honey, please go to the Tikwm
homepage.