@destiny_dreamfate: Nisadıeni kuelewa hili swala aiseee! Hapa inakuwa kwamba biashara haijatengeneza faida iliyomuwezesha kukua au kaamua mwenyewe??? 🤔 Alafu kwani fremu kubwa ndiyo kipimo kwamba biashara imekuwa na inatengeneza faida kubwa au nao ni mkakati wa kibiashara?? Nielimisheni mapema kabla sijajichanganya 🥹 #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo