Chuo ni kugumu ila wacha nikwambie life after chuo ndo utaona chuo kulikua na uafazali😂
2026-06-18 21:27:07
181
magee🍒 :
Tatizo tunajiuliza ela ya kuweka cope mnatoa wap
2026-06-19 03:55:29
60
con noi nel mondo..! :
exacly dr😔😔😔
2026-06-18 16:47:12
3
sam swaggz :
😭😢😭naomba maji ninywe niongeze machozi
2026-06-18 16:48:39
46
-litha 🥰 :
punguzeni matumizi ya hela yasiyokuwa ya lazima ,m naishi maisha simple saana nalipa kodi ,nalipa ada nakula na kuvaa kupitia boom bado nabakiwa na kitu
2026-06-19 06:02:11
8
CHELU FASHION HUB🛍 :
pole Baby kaza mimi nilikuwa naenda chuo kwa mguu nikifika chuo nikisikia kiu cha maji naenda chooni kunywa maji ya chooni🥺
2026-06-18 22:50:41
23
audifax_kassamali :
yaani matatiz yanaushikikiano yakija yanakuja Kwa pmj
2026-06-18 18:35:27
27
HABIBU MALINZI :
shida zikizidi piga simu nyumbani 😁
2026-06-18 20:22:33
23
Kasemela Doto :
bora ww gesii imekata nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa rafiki yangu sana aliwahi kukosa unga,mchele hadi gesi ilikata kiufupi alihamia kwangu kwa wiki 2 . ila saivi alivyojipata huwa nkimuomba hela tu anaitumia
2026-06-18 18:18:34
16
👺👺 :
naomba namba nikusaidie dada yangu
2026-06-18 18:15:33
17
🎵 :
GESI ILIKATIKA SIKU HIYO NILIKUNYWA UJI NA DAGAA
2026-06-18 22:36:14
9
𝗜𝗳𝗮𝘁𝗞𝗵𝗮𝗻9♥️🇹🇿🇮🇳 :
Aneweza kukuelewa niyule ambae ashawai kupitia hii situation 😔🥹pole
2026-06-19 04:25:40
4
Ummy🌸 :
😂😂juzi usiku gas imekata nimehis kuchanganyikiwa afuu inakataga wakati huna hela na matatizo yanavyojua kufatana ukiwa huna hela dah😂😂
2026-06-19 02:18:39
5
Osman 09 :
Make friends wa manaaa ! Simple
2026-06-19 01:28:35
1
Noreen🦋 :
huw tunakuw na jiko la mkaa pembeni tunaojua hali zetu et🥺
2026-06-18 18:31:48
5
evcute05😍 :
kila unaemkopa hela hana☺️got me pole mwaya lkn
2026-06-18 22:23:32
1
mar_theoriginal :
pole dada
2026-06-18 22:23:37
0
Jalicious Babe0💜🧸🍫 :
Auna kamchumba 😁😁
2026-06-19 10:03:38
0
0.9.6_cOdE🤏😎 :
tatzo kila mtu content creator 😂😂😂🙌
2026-06-18 22:46:06
2
mirium ❤️🔥 :
😭😭😭😭 we acha tu
2026-06-18 16:48:27
3
Tiffah Sayed :
kuna sisi tumesoma bila boom, maisha magum sometimes unakunywa maji y toi na mkate wakati wenzio wanakula chips kuku,oyaa inaumaa saan
2026-06-19 04:06:29
3
Marry@123 :
Nimecheka kwa uchungu😭😭😭
2026-06-18 17:47:30
1
winn :
sanaaa dada
2026-06-18 18:14:38
2
To see more videos from user @universityzuchu2, please go to the Tikwm
homepage.