uneongea yote umemaliza na ni ukweli mtupu mm pia as kemboi may Allah subhanaWatalaa atuhifadhi ...
sio rahii 🥲 kujiuza na kufanya hayo machafu yote ni kukukosa hofu ya M/Mungu ukijikurubisha kwa Allah na kufanya ibada zako kikamilifu utajiweka mbali na machafu na M/Mungu atakupa tu Rizk ya halali huezi kukosa kazi
2026-06-19 06:22:54
13
Mazrui bloodline 🫀📿 :
Ya Allah,tulindie kaka zetu na Dada zetu walioko Ugaibuni🤲🤲🥺
2026-06-19 19:56:39
3
Ayush Abdalla maphya :
Ameen thuma ameen 🙏🙏🙏
2026-06-19 07:40:51
1
@Digo lady 001 :
Allah atuongoze na atuepushie na tamaa nakutosheka na rizki za halali inshallah
2026-06-19 15:01:20
5
najmer🥰😘 :
Allah atupe subra atuepushe n tamaa🤲
2026-06-19 08:44:54
1
kingfahad254 :
Siku Pingi Una Ongea Point Kabisa.
2026-06-19 17:08:02
1
🕸️🧿SOPHIA🧿🕸️ :
subhanallah allah tujalie mwisho mwema😳😳😳
2026-06-19 07:57:08
2
Mrs Bwana-kher💍💝 :
Qtri Hatarii....
2026-06-19 11:30:10
4
Naseer Mhd :
🙏🙏shkrani maalim Kwa naswaa
2026-06-19 08:11:51
1
It's me again🦋🪷 :
marafiki na tamaa ukija gulf viweke pembeni hivi ni mizizi ya uovu
2026-06-19 09:25:08
3
fash :
innalillahi waina ileyhi rajiun Ni msiba huu Allah atunusuru
2026-06-19 21:30:58
2
Fatma Baruwa :
subuhana llah
2026-06-19 20:39:58
1
Black_Venom_13110 :
SubhanaAllah 💔😭
2026-06-18 23:05:05
3
One Africa@ world. :
subhanallah
2026-06-18 20:43:15
2
𝐁𝐚𝐫𝐛𝐢𝐞 𝐁𝐞𝐲❤ :
Allah Atulinde jamn
2026-06-19 17:59:39
1
kaka duli :
ameen
2026-06-19 11:46:43
1
user861531450786 :
Subhanallah, 😔
2026-06-18 18:11:39
2
Nurrie :
marafiki & tamaa na uvivu wa kufanya kazi ndo wanaangukia kwenye hizo mambo...
lakin ukiwa na subra na hiyo 1800qr M/Mungu anaitilia barka unafanya maendeleo yako pole pole
2026-06-19 06:41:06
8
Ayush Abby 🥰 :
subhanallah 😳😳😳
2026-06-18 17:29:46
2
Coffee en milk☕ :
Kwanza mimba wadada waa mungu awanusuru🙏
2026-06-19 07:07:27
2
remy :
umesema ukweli mtupu Wallah
2026-06-19 01:15:53
3
I❤️Allah :
subhanna Allah nikweli
2026-06-19 12:16:26
1
Hajjat Fawafa✌️ :
Subhanallah Allah atustiri yaa Rabbi
2026-06-19 13:13:14
1
Halimaa Ali :
subhannaAllah Allah atuongoze msiba mkubwa huu
2026-06-19 12:38:08
1
To see more videos from user @abuuzakir1, please go to the Tikwm
homepage.