@raj_singo: UMAIF chini ya Kiongozi wao Sheikh Muhammad Samata inawakaribiasha Wanawake wote kuhudhuria katika mashindano Makubwa ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu Kwa wanawake Watu Wazima yatakayo fanyika siku ya Jumapili Tarehe 21/06/2026 kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 7 Mchana katika ukumbi wa DYCCC Chang'ombe Jijini Dar es salaam. "QUR'AN NI UPENDO" @umaiftv @sheikh_walid_alhad #reels #trending #fashion #trendingreels #viral