@gospelfrancineofficial: NDOA SIO MWEPESI... LISTEN @Dr Rose Shaboka #pastorroseshaboka #fyp

GOD OF WONDERS 🇨🇦🇺🇸
GOD OF WONDERS 🇨🇦🇺🇸
Open In TikTok:
Region: CA
Thursday 18 June 2026 18:19:26 GMT
910403
67596
1256
7350

Music

Download

Comments

mag.samy
mag samy :
kwanza mm nimechoka naskia kwenda
2026-08-16 17:21:49
53
cristabel.mutsoli
Cristabel Mutsoli :
ndo maana nilitoroka
2026-08-13 12:49:05
26
mamavihaan
judy thy tabby :
one thing I regret deeply is getting married
2026-08-17 08:25:50
16
ve.lv5
official ve iv ❤️ m ⚘️🌿 ❤️🥰 :
sijawahi kuolewa ila tuseme tu kweri ndoa ni ngumu
2026-08-15 09:15:56
47
user74612363785326steve
missionary celestine Atela :
ni kweli kabisa mimi ata naona mwezi haitaniishia hapa😅😅😅
2026-08-15 13:37:21
30
tinnah545
tinnah💓💞💕 :
tunakuelewa mama nataman niongee ila nmechoka
2026-08-14 05:48:21
30
sophyrose40
Sophrose40 :
mimi siwezi kabisa kudumu zimenishinda kama ndoa 6 hivi sijarii
2026-06-21 13:11:33
82
user2714882437709
Atuganile :
siyo kweli aisee si wote Wana shida
2026-08-15 16:35:46
11
divasize8
Mrs Amor🥰🥰🥰 :
sijaolewa lkin hamu ya kuolewa sina juu.kila mtu yuasem n ngumu aaah tosha
2026-08-18 07:15:13
8
melisiabayona220
mb@mb :
Basi huyu wangu ni zawadi kutoka kwa Mungu hatujawahi kukwaruzana kwa chochote sijawahi juta hata kidogo. Miaka 15
2026-08-15 14:25:06
36
254maggy54
user39711259847933 :
Mimi nimechoka kabisa na tumeishi miaka 17years Ako na wanawake Kila kona
2026-08-17 09:37:52
5
2004faustina
Da Tii❤️ :
natamn sana hata kesho nifunge ndoa lkn hayo maneno yenu jaman plz muongee taratibu bc
2026-08-14 13:33:06
7
bozerblessing2
Natukunda tamari :
Mbona mimi nahitaji ndoa jamani au niache tuu nisiende mana naogopa mnaposema ndoa ningumu😳😳
2026-08-13 13:41:33
7
princesssharleen4
princess sharleen :
if you can't change a man, change the man.. simple
2026-08-15 12:33:46
7
norah637
chimammy :
miaka kumi kwa ndoa kujaribu kuvumilia juu unapenda ndoa weeeh niliinua mikono acha nikufe single nitazikwa tu🥲
2026-08-16 20:10:44
10
prexcie1
Miss P💜 :
siri ni kunyamaza na kuachana na mume afanye atakavyo we jipende na ulee watoto wako, you cant change or control a man
2026-08-14 06:11:33
7
aunty_zury
Zury🥰 :
Ndoa ni ngumu kwl kwl siku zote kitu chenye baraka kina changamoto kama huna Moyo na humtegemei Mungu kuhandle ni kaz a
2026-08-15 09:46:14
15
matrida482
matrida :
sijui wenye roho ndogo kama yangu
2026-08-13 17:43:44
10
neymar51298
💫She-Str💫 :
Ndio maana nimekaa Saudi😭😭😭😂😂😂🤣🤣
2026-08-14 14:03:20
6
mirror062
Mirror062 :
Ndoa siyo maisha pekee huku duniani jmn ikikushinda ishi kivyako
2026-08-15 06:08:59
5
verenabanigwa
welamcho🦋🍎 :
Moja kwa moja status🥰🥰🥰
2026-06-19 15:00:04
122
nyotandoole759
Nyota Ndoole :
Mungu wetu atuwezeshe kabisa
2026-06-22 08:17:34
34
unknownone466
user1234 :
Mi ninaroho nyepesi mnoo ila kwa niliyopitia mpk roho imekuwa ngum bila kupenda, yote kwq yote. Ainuliwe Mungu baba kwa neema yke 🙏nilipata bp madonda ya tumbo nilimwambia Mungu hakuna ungojwa wa kunitoa roho na sasa ninadunda na kubarikiwa juu! Ndoa bila Mungu hutoboi
2026-06-21 17:01:46
24
annastazia.msafir
Annastazia Msafiri :
daaaah ukweli mtupu hapo umenena🙏🙏
2026-06-22 23:52:32
13
To see more videos from user @gospelfrancineofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About