Ndoa Azina umuhimu wowote kwa kizazi cha Sasa Kikubwa kuwa na watoto wako na. Kuwatunza kwa upendo
2026-06-19 10:07:01
19
Simion selemu arap Rotich :
wanapenda pesa na maringo sana tamaa juu wee kuona wapi mahari billion Moja
2026-06-19 12:25:42
9
xlum dogg opuu :
ukwel ni kwamb uwezi otesha miwa karibu na shule ya msingi
2026-06-19 08:25:23
10
Ruby 🌹 Rose :
tuna omekana wahuni wakati hata hujuwi chochote 😔😔
2026-06-19 04:08:16
11
Charles Mang'era :
Hii generations ndoa tunafanya kama destur lakini hiki kizazi chety mambo yakuwa ndoa ni holaaa
2026-06-19 04:36:38
6
Sembetigo :
mi nilikuwa na dem ila mchoyo balaa
2026-06-19 17:48:45
4
Alpha's Princess 👸🌸♌️ :
Haiyaaaaaa😂
2026-06-19 05:21:04
3
Sombi office :
et
2026-06-19 17:40:52
1
EPHRAIM MDALE :
mmekuwa omba omba sana asa nani anaoa omba omba
2026-06-20 15:18:08
1
TALAMBE HOUSEWARE :
balaaa
2026-06-20 13:32:08
0
mwna harakat :
wanaviburi
2026-06-19 23:04:15
0
user551621376505 :
moja. wanajilingia uzuliwao. mbi2. wanapendapesa. sana
2026-06-20 01:33:14
0
Jamal musialA :
shida Yao wanajiona wazuri na kiburi kingi ndo mana watakula uzuri wao
2026-06-19 13:01:39
1
juma furniture 0757133554 :
kwaiyo waache kufanya biashara au
2026-06-19 17:18:09
0
king ngosha or Mr smart ways :
mungu akupe uzuri shep na zawadi ya ndoa upewe nani kasema hiyo wasahau na akiolewa ndoa haifiki mbali maana wengi wao huwa hawajielewi hata kidogo wao humain uzuri kuliko muda
2026-06-19 23:52:56
0
frank :
Shida ni kiburi cha uzima ndo huwa kinawapa maringo