@obedjkatunzi375:

PASTOR Obed J Katunzi
PASTOR Obed J Katunzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 20:28:10 GMT
32094
921
115
154

Music

Download

Comments

richi.zumba
Richi Zumba :
kakobe yuko sahihi.. zaka nilazima na sio hiali.. ila sadaka yakawaida haitakiwi kulazimishwa, ni hiali. hapa inabidi tufahamu kuna sadaka aina mbili tofaugi 1/ zaka 2/ sadaka ya upendo, namaanisha unatoa kwa moyo wakupenda na sio lazima ila nivizuri kutoa pia.
2026-06-19 05:05:31
15
amoniraq3nw
Dorcas :
Mimi nilisha ona muhimu wakumutoleya Mungu sadaka lakini nivizuri kuomba Mungu akuonyeshe mazahu gani ya kutolea sadaka
2026-06-19 02:09:37
13
eliabufurahini
ELIABU TZ🇹🇿 :
poleni
2026-06-19 05:54:24
0
user9606739034944
tinamajira :
pole sana mchungaji ila unakosea sana
2026-06-18 20:46:40
8
rachel.kasela
Rachel Kasela :
kakobe yupo sahihi
2026-06-19 03:39:54
6
user9826581777600
user9826581777600 :
USIPOLIPA ZAKA UNAMWIBIA MUNGU MIMI NAONA BABA YANGU YUPO SAHIHI
2026-06-19 18:17:27
1
gesusu08
Braitoni mwandata :
mimi nilipo lazimishwa kutoa zaka Mungu amenibariki sana
2026-06-19 01:00:46
5
bboy3225
Bboy :
unahitaji ufunuo wa neno la Mungu katunzi huwezi huwezi kumuelewa kakobe anakuzidi mbali sana kwa kila kitu
2026-06-19 12:59:06
2
5432111alextembo2
alexalextembotemb :
Zaka inasaidia nini kwa maisha ya kila siku
2026-06-19 15:48:01
0
s.flavortz
s.flavortz :
kakobe yupo sawa
2026-06-19 13:09:01
0
tiger.loyalty
Tiger Loyalty :
Amina kakobe
2026-06-19 03:36:03
3
seda7collection
Seda7Collection :
ASKOFU KAKOBE YUPO SAHIHI👏❤️
2026-06-19 21:37:02
1
mfumwaseya0
mfumwaseya :
Kabisaa mchungaji Obed J Katunzi ubarikiwe zaidi 👏
2026-06-19 04:18:08
3
saweremasaki
Sawere Masaki :
ukoo sawa mtumishi wa Mungu
2026-06-19 09:51:48
1
user8220225475129
jafeti :
kakobe yuko sahihi
2026-06-19 14:49:23
1
adam.vizwalo
ADAM VIZWALO :
Zaka ni muhimu sana
2026-06-19 13:43:53
1
eveline.tumaini
Eveline Tumaini :
mtumishi katunzi mungu akubariki sana kwakuusema ukweli
2026-06-19 12:56:16
1
ratipha2
ratipha :
yupo sahihhi kakobe
2026-06-19 06:35:34
2
jonenga
Apostle John :
nakubaliana 💯
2026-06-19 05:50:05
1
obaoba561
obaoba :
hiyo ni kodi siyo zaka
2026-06-19 03:43:34
1
jenipherally135
Jenipher kaoneka :
kweli
2026-06-20 08:05:00
0
berylturner07
Beryl Sia :
Hahaaa mazito.
2026-06-20 09:00:47
0
boniphacepoul
boniphacepoul :
tunampa nani
2026-06-20 08:12:06
0
christinefelix2
𝙴𝚟 𝚊𝚗𝚍 𝚃𝚎𝚊𝚌𝚑𝚎𝚛 𝚃 :
MUNGU NISAIDIE NIELEWE
2026-06-20 10:20:16
0
mwinjirist.gosber4
MWINJIRIST GOSBERTH DESDERY :
amina🙏🙏🙏 baba
2026-06-18 21:09:44
0
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About