@faah_libra: 1)ukiota (UNAPAA)fahamu wewe una jini kichwani amekutawala mana moja ya matembezi ya majini ni kupaa🪽🪽🪽 2)ukiota (UNAOGELEA KWENYE BAHARI) fahamu wewe umetawaliwa na jini bahari na amekuchunuku ulipo kwenda baharini ndio akakuvaa🌊🌊🌊 3)ukiota (PETE ZENYE VITO) fahamu una jini mwilini mwako anakusumbua anataka pete💍💍💍 4)ukiota (UNATIBIA WATU) fahamu una jini mwenyewe karama ya tiba utaangaika ila kupona kwako utibie⚕️⚕️⚕️🌲 5)ukiota (UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE) fahamu unashetani mwilini mwako anakusumbua mtoe utakuwa shoga👿👿👿👿🧞‍♀️ 6)ukiota (UNASAGANA NA JINSIA YAKO) fahamu una shetani mwilini mwako,🧞‍♀️🧞‍♀️🧞‍♀️🧞‍♀️ 7)ukiota (UNAPEWA UPANGA WENYE MANENO YA MUNGU) hii nimeambiwa nisiseme🤲 8)ukiota (UNAPANDISHA MAJINI UKIWA UNAIMBA NYIMBO ZA MAJINI) fahamu una jini uganga 9)ukiota(NDOTO ZINAKUWA) ukiota ndoto alafu zikiwa zinajibu fahamu wewe unajini mkubwa sana ila ajafunguliwa💭💭💭💭💭💭 10) Ukiota (NDOTO ZA SHULE) fahamu umeekewa jini mchafu lengo wakuharibie mambo yako na mipango yako 👿👿👿👿👿 FAHAMU KAMA UPATI NDOTO NI SAWA NA GARI HALINA TAA USIKU NI HATARI SANA#fyp #viral #foryou #foryou #viralvideo

UKHTY_FAAH
UKHTY_FAAH
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 18 June 2026 20:39:36 GMT
49883
4576
51
65

Music

Download

Comments

ayubu.b..maumba
Ayubu B. Maumba :
hii namba 10 mbn balaah kwangu
2026-06-19 00:37:34
13
islamicdinyangu
Islamic din yangu :
mm m ona namb tisaaa
2026-06-19 21:21:34
2
user3157352001252myshy
mrs Tea🥰🥰🥰🫂🫂 :
number 2 aky
2026-06-20 05:57:59
1
mima.baby1
Mima baby :
number 10 jamani kla cku shekhe nisaidie
2026-06-19 07:12:14
5
user6539047233261
user6539047233261 :
nimeota nyoka ananivizia kunighata lakin hakufanikiwa Naomba kujua ndoto hii inamaana gan tafadhar 🙏
2026-06-20 03:00:11
2
user2979563563452
user2979563563452 :
namba 10
2026-06-19 16:48:59
2
pretty.laddy93
Pretty Laddy :
10 na 9
2026-06-19 06:24:19
3
hamimeid6
Hamim Eid :
جزاك الله خيرا وبارك الله فيك
2026-06-20 13:07:21
1
bintmahiza
Da Ummy❤️🦋 :
Namba 9 na 10 zinanihusu
2026-06-20 19:39:56
1
dads.daughter618
rukia Hassan :
namba 10
2026-06-19 22:17:53
2
user3814121823676
user3814121823676 :
jamani mi huwa nakosaga amani birthday sababu nakua mtu mwenye màwazo sana yani nakua kama kunakitu kinazungumuza kichwani mwangu
2026-06-20 17:15:45
1
anna51778
Anna :
9
2026-06-19 03:35:30
1
suma.iddi6
Suma Iddi :
shehe nisaidie namba 7 ndugu yangu
2026-06-19 05:43:57
1
rahman15201
Rahman :
namba 10 na 2
2026-06-20 09:02:41
1
shoukran11
Shaqur78 :
hii ya 9 anafunguliwa vipi
2026-06-19 08:04:16
2
chaby6588
123 :
mm 8 mwisho jana
2026-06-19 03:27:04
2
zayratkhamis_og0
Bibah Queen 👸🥰💃 :
Namba 6 Mh😢😢😢
2026-06-19 08:47:51
1
mariamngwadi603
Mariam Ng'wadi872 :
mm namba 1
2026-06-19 20:08:30
1
user41435510
ruzuna :
mimi 9 na 10
2026-06-19 02:53:42
2
aminadally
aminadally :
9 na 10 naota sanaaaa
2026-06-19 15:04:56
2
hichracute2
hichara :
yaan mh mungu atuepushie maan nateseka mie
2026-06-19 08:27:43
1
momo.neylove
🥀🦋momo ney🌹💝 :
namba kumi naiota sana iyo ndoto
2026-06-21 00:00:42
0
user587734969919
user587734969919 :
no 4,9 ,10 (_) Yarabb tuongoz waja wak katik kheri
2026-06-20 23:56:34
0
maryamsaid500
Maryam said :
Amiin amiin
2026-06-18 22:32:26
1
To see more videos from user @faah_libra, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About