@thaminiujenzi: 🌟 Ubunifu wa vijana unaendelea kuleta suluhisho kwa sekta ya ujenzi. Leo tunamwangazia mwanafunzi aliyebuni interlocking blocks kwa kutumia udongo, chokaa, na saruji kama njia ya kusaidia upatikanaji wa makazi nafuu. Ubunifu huu unaonesha jinsi mawazo rahisi yanavyoweza kutatua changamoto halisi za jamii. 🏗️ Je, unaona interlocking blocks zinaweza kuwa suluhisho la makazi nafuu nchini Tanzania? Tuambie maoni yako. #MUSTScienceandInnovationWeek2026 #Tofalinafuu #Interlockingblock