@_zuzaism: Part 104 | Tunazungumzia kuwa Kuamka kunaogopesha kwa sababu kunakulazimisha kuhoji kila kitu ulichoaminishwa kuhusu wewe mwenyewe na dunia. Kadiri unavyohoji, ndivyo unavyogundua watu wengi wanapendelea kufuata kuliko kuchunguza. Upweke unaohisi si adhabu; ni nafasi ya kuisikia sauti yako halisi. Wakati mwingine, bei ya uhuru wa akili ni ujasiri wa kusimama peke yako nje ya boksi. #creatorsearchinsights #fy #zuzaism #awakening #questioning
Ww ni smart sana waamshe aisee watu wapo sehemu ata hawataki kuwa🥺
2026-06-20 12:24:02
3
Lightness john :
nipo lonelyyyyyy
2026-06-19 19:05:52
3
Rwiza_Mchunguzi :
universe is infinite and the world is finite🔥🔥
2026-06-20 22:12:58
1
Jackline julius :
ngoja nikifollow
2026-06-21 04:25:49
1
organ :
asante sana kaka
2026-06-19 17:44:20
3
AXIS MEDIA :
HAKIKA💯
2026-06-19 15:53:04
2
Peter kabango :
🤔🤔🤔 sahihi sana mkuu
2026-06-19 12:04:43
2
Elisha Christopher :
so sad
2026-06-19 19:44:59
2
Angela K :
hakika
2026-06-19 19:05:15
2
Divine Online :
Very true! ❤️❤️
2026-06-19 12:46:06
2
user9731154929843 :
safi sana nazidi kujifunza jambo
2026-06-20 03:54:49
1
meku meku :
Dah
2026-06-20 10:59:18
1
Oh_Trinity :
you know
2026-06-19 18:51:32
3
Junya Mussa :
salute broo
2026-06-19 19:12:35
2
Sarah Komba :
Absolutely 💯
2026-06-19 18:24:59
2
TEKASHI ICE🧊 :
Absolutely 💯💯🔥
2026-06-20 06:20:48
1
MwanaMalundi :
Asante
2026-06-20 07:13:05
0
Big 3 :
very true 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-20 15:09:19
1
Amos Dastan :
kabisa bro
2026-06-19 12:55:19
2
_harkid :
Kwahy sasa tunatakiwa kumhoji nan mkuu🌚
2026-06-20 09:52:59
1
YAHSEE YAHUSHAPHAT JOSSE :
💯 kweli kabisa kaka
2026-06-19 19:52:25
2
#Wakristo :
Unanipa nafasi katika vituo vyangu vya kufikiri, Kufikiri kunakoleta ufahamu unaozalisha mawazo yaletayo Misimamo isiyo na mipaka.
Sauti Yako inatengeneza ngazi ya muhimu sana katika kufikia, uwezo wa kufikiri kunakoleta ufahamu unaozalisha mawazo yaletayo Misimamo isiyo na mipaka.
Umebarikiwa kibali cha kutawala Ulimwengu wa kufikiri kunakoleta Ujuzi wa kushinda na kutoka Utumwani.
#Kufunuliwa kwa Mwana wa MUNGU
2026-06-19 14:25:34
4
💅Nanabeuty saloon 💅 :
Nikwel kabisa
2026-06-19 16:55:54
2
VISION OF TALENT :
huyu jamaa ni genius sana💥
2026-06-19 13:44:50
3
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.