@ndakatv: Mume wa mfanyabiashara maarufu Zari The Boss Lady, Shakib Cham, amedai kuwa bado yupo kwenye ndoa na mkewe, akikanusha taarifa zilizosambaa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wawili hao wameachana. Shakib amesema kuwa taarifa hizo si za kweli na kusisitiza kuwa uhusiano wao bado upo imara licha ya tetesi zinazoendelea kusambaa mtandaoni.

bushiri
bushiri
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 05:10:45 GMT
7460
168
6
5

Music

Download

Comments

zinzinzouzoo
🧸🧸🧸 :
2026-06-20 22:46:24
0
rebecca.shauri.ka
Rebecca Shauri Kashama :
wow🥰
2026-06-19 22:51:38
0
zinzinzouzoo
🧸🧸🧸 :
🥰🥰🥰
2026-06-20 22:45:55
0
jeneth440
janethomary76 :
🤣🤣🤣🤣
2026-06-20 10:31:37
0
zinzinzouzoo
🧸🧸🧸 :
🥰🥰
2026-06-20 22:46:17
0
To see more videos from user @ndakatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About