@magarimaarufu: Nikiwaambia Magari ya mwaka wa Mbele yana Raha yake sasa hii Volks Wagen R ukisinzia huwezi hama njia au ukapata ajali inawasha hazard inajipaki na kupiga simu ili uweze kusaidiwa. Kama umependa Teknolojia ya hii gari basi hapa tuna video nyingi za kuhusu magari tunakushauri na tunakupa gari ambayo inajali usalama wako kwanza. Kwa Accessories kali za magari wacheki @accessoriesmaarufu au wapigie 0798 373 670 #storizamagari #magarimaarufu