@itsvictorsamuel_: Diary of the creator Ft @im_benwilliam Hivi utajuaje kama unajua ukweli ulio kweli? Yohana 8:32 Tena utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru… Maana yake ni kwamba ukiwa huru na hujajua kweli, ni uhuru bandia… so siku utaijua kweli ya kweli kuna uwezekano ukapoteza uhuru ulio nao ili kuupata uhuru wa kweli… How do you know uhuru wa kweli? Fulfillment.The Spirit never lie… Ask #diaryofthecreator #christ #mysteries