uhuru kenyata Allah amlaani ndie alotuekea kwa ajili kulinda ndugu zake
2026-06-19 08:55:32
3
user2307254586127 :
unajaribu kupea nafasi magaidi lamu lakini serikali washajua
2026-06-19 07:43:12
2
REsS✅🤩 :
The security forces should simply escort this vehicles at one time to minjila and from minjila to mokowe and have specific travelling hours at night 🤔
2026-06-19 14:01:34
0
Ali Masha :
mbna mnang'ang'ania usiku
2026-06-19 10:19:15
2
S.H.B. :
serikali yetu imejaa ubaguzi na unyanyasaji
2026-06-19 09:19:51
2
user7344891797551 :
kabisa Allah atawalinda Inshaallah na awape.nguvu na umoja
2026-06-19 09:09:39
2
حبيبة :
mimi natamani kusafiri usiku lakini naogopa 😂🤣😅
2026-06-19 14:05:06
1
MANUU 🥰🥰🥰🫂🫂 :
mbona mandamano yasiwe mchana????
2026-06-19 11:45:28
0
Margaret Kanana :
tushawajua njia yenu polen sanaa
2026-06-19 18:06:17
0
james njoka :
Mimi nimkaazi wa Lamu lakini napinga hizo Safari za usiku
2026-06-19 15:06:27
1
Salim :
ikifungwa usiku uchumi wa hizo miji inazorota
2026-06-19 15:15:29
0
user5700816210800 :
musijaribu haki hakuna mwenye ezimungu awahifadhi hakun amani
2026-06-19 16:01:39
0
jirani zima taa :
inshallah
2026-06-19 07:24:10
1
salim jaffar :
Mashallah...hakuna Tena kubembelezana na serikali..tumechoka kubebwa ufala kwa miaka mingi.Cheers!!
2026-06-19 13:45:17
0
mr gedi :
kwan plan ya hawa watu n nn
2026-06-19 13:38:50
0
mamalao#@Regina thuo :
why don't we, given army, police waondoke Kwa Barabara kabisa
2026-06-19 08:07:58
1
hassan mohammad :
ndio
2026-06-19 09:23:10
0
Rafeeq 1528yy :
congratulations keep it up good work💯🥰❤️👏👍💪💪
2026-06-19 14:07:03
0
air force1 :
uenda ucku c mbaya bt tujue hiyo njia n mbaya xn xo Kwa usalama wetu jameni mm km maoni yangu Bora tusafiri usiku coz n hatari
2026-06-19 11:31:43
0
tani :
InshAallah iwe kherii
2026-06-19 11:52:12
0
Halima Laly :
👍innshallah tutaweza kupeleka watalii from watamu to lamu one day trip💪
2026-06-19 18:23:30
0
@baba mlezi940 :
maajabu kenya mzima hivi lamu kuna kabila moja ama kuna dini moja mbona wanao andamana ni waisilamu pekee hapa shida nini ama muliambiwa nini baada ya kiongozi mkuu kuzuru lamu apana mm sielewi kabisa hata ukisikiza hii speach yake ana taja zile sehemu zinazo ishi waisilamu mbona mbona ama hizi town nyingine ambazo ziko lamu hazijulikani hili swali litajibiwa na viongozi wote na wanalsmu wote lakini si kabila moja wala dini moja apanaa
2026-06-19 12:05:36
0
Omar امرن :
umoja ni nguvu💯
2026-06-19 13:14:24
0
Big Boss :
wake ambao hawataki safari za usiku wasafiri mchana na nyinyi munaopinga mbona hamuulizi miji mingine zipo safari za usiku hii ni dhulma ya wazi
2026-06-19 13:44:53
0
🧣Omar madafu 🥥🥥🌴 :
mkipita sabaki nitawanunulia breakfast nyote na niwapee credit ya 300/=
2026-06-19 13:36:53
0
To see more videos from user @alhaajartvkenya, please go to the Tikwm
homepage.