@mapishipambemwanza: Hii jikoni kwetu tunaiita mix mix Ubunifu kwenye mapishi ni muhimu sanaa #swahilikitchen #Mwanza #Foodie #swahili #SwahiliKitchenMwanza

Swahili_kitchen_mwanza
Swahili_kitchen_mwanza
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 07:59:19 GMT
91989
1522
65
43

Music

Download

Comments

ivonclavery
#Ivovo😊💜 :
Mimi Bamia pika vyovyote muhimu mtelezooooooo🥰🥰 hata Supu ya bamia nakunywa mie😂😂😂😂 na ile ya kuloweka mbichi kwenye maji twendeee yaan humu tuuu🥰
2026-06-21 19:29:58
5
aishashaban162
Sugarlips :
sas hii utaita nn zaid ya mlenda mambo mengi
2026-06-20 00:03:46
7
flaviana9797
Flavie Collections💕 :
Mbona bamia zinanishinda kula
2026-06-23 11:11:26
1
latifahsalumabas
Latifah_unique :
Siwez hata kwa fimbo🙏🏾
2026-06-21 09:27:44
1
house_of_kids_shoes
house of kids shoes :
Karibuni viatu vya shule vya mtumba og pia vipo vingine tembelea page hii🙏
2026-06-20 14:52:10
6
phiphi_store
phiphi🌹flower bird🦋 :
jmn tusomeee😂😂😂😂
2026-06-19 12:52:28
3
salmamoita
princess Arya🍏 :
ungeweka na dagaa😋😀😀
2026-06-20 15:09:04
2
misscatherine885
@MissCatherine.. :
Hii ni mix by yas
2026-06-20 12:08:17
1
user71330543373970
Ruty :
Natapika mpaka hewa
2026-06-20 17:58:19
1
lilianchuwa866
latifa chuwa :
vitu vyangu
2026-06-20 10:34:52
1
difrice_
💭____♥️D :
Hii ni mchicha mlenda wa kupaka😂
2026-06-19 19:25:05
2
sautyadhahabu1
saut ya dhahabu :
siku nyingine ongezea bilinganya na maziwa🥰🥰
2026-06-20 10:10:18
1
ester50742
Essie🌸🌺 :
Mmmh
2026-06-19 12:32:44
1
bahati.chawala
bahati chawala :
Hii ndo wanaitaga mchanganyiko mixer😂😂😂😂 ama mm najiamulia mambo😂😂
2026-06-19 12:59:50
1
madameg71
[email protected] :
bamia na mchicha huko huko..😂. sema katam kanaonekana.. tukaite mrenda wa kurost😂
2026-06-20 18:40:34
0
judie._designs_
@judie _designs_ :
hiyo mboga ya majani ni mboga gani
2026-06-20 12:05:49
1
sesiliamanzagata
Sesilia Manzagata :
pishi langu pendwa
2026-06-20 09:40:08
1
kimnanah071
Kimnanah🤗 :
Sasa huu mlenda au mboga kabisa umeunga
2026-06-20 10:15:50
1
dafty.ramso8
Dafty Ramso :
mlenda usio lendemka
2026-06-20 15:58:17
1
ayshertarimo
Aysher Tarimo :
dah na ugali wa dona mixer muhogo hapo nabdagaa mchele pembeni.hii ntaifanya kwakweli
2026-06-21 16:02:47
0
user8898022157887
sia yese :
😳😳😳
2026-06-21 17:36:44
1
To see more videos from user @mapishipambemwanza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About