mimi nahisi iyo siku nitalia mpaka dj atazima mziki maana sina baba wala mama
2026-06-19 18:19:55
213
mary wallet💴💰 :
😭😭😭😭😭
2026-06-19 20:12:37
59
Shikito🇨🇩 :
HONGERA MWANANGU ADAM
2026-06-20 06:51:11
5
Halima Rama🫶🫶 :
sasa mbona tunalizana 🥹🥹🥹
2026-06-19 17:16:02
97
Mr. Nonchalant 💵💸 :
Mungu nitunzie wazazi wangu 🤲🤲🙏
2026-06-20 08:48:03
12
careen :
Nimejikuta nalia walahi🥲pumzika kwa Amani baba angu🥲
2026-06-20 07:22:36
22
Yna-💫🕋 :
mimi mmoj hayupo walilia woteee..🙌🙌🙌😭😭😭😭 mungu ampunzish mahali pema peponi
2026-06-20 09:48:14
6
Ms work ♥️ :
dah nmeliaa afu ata cjuhi nalia nn🥹
2026-06-20 04:25:30
58
munnah_cute 💕 :
cjui na Lia nn
2026-06-19 14:25:08
24
Sab Da Future🍁 :
Sas mim nalia nin jamn 🥺
2026-06-20 09:24:46
5
🦋Felister 🦋 :
dah asubuh yote hii nimeanza na kulia 🥺huyu kaka ameniumiza jamn hii nyimbo imemgisa akamkumbuka baba yake ili wamuenzi mama yake maskin dah baba kashindwa kujizuia ee Mungu tusaidie sana .
2026-06-20 07:43:13
12
Mrs yake Mr wang :
nimejikuta nalia saa nane hii usiku, mwenyezi mungu awalaze mahali pema wazaz wetu
2026-06-19 23:32:40
24
offical munna🦋 :
Niko nawazaz wot lakn nmejikut nalia jmn🥹
2026-06-20 09:04:37
10
lynee🥰🦋 :
1: najua umeangalia
2:umefurahi
3:umekuja kwenye comment
4;umeona comment yangu
5: Aya like sasa 😘😘
2026-06-19 20:29:55
26
Catherine Rechard :
Nimekuta na hii nyimbo nimelia yani ndo sina Mama hata sijuii baba angu anafananaje nyie msiba usikie kwa watu
2026-06-20 07:39:02
5
Cecilia mangii😍♥️ :
ndo maan sijataka hek hek za sherehe aiseee,Kuna vitu vinaumiza nyieee🙌🙌🙌,mama angu aendelee kupumzika Kwa Amani aisee😭😭🙌🙌
2026-06-19 20:10:08
21
Munah :
Mm tena machozi yananitoka😔
2026-06-20 06:31:13
8
reyc :
daaaaah mpka nimelia
2026-06-20 08:51:32
2
zusalshaissa :
mkew mzur mashallh kalia kiume maskin
2026-06-20 03:32:23
28
Kwani We Nani🪿 :
Hii nyimbo isipopigwa kwenye harusi yangu DJ Ata lala ndani na hela halipwi🥺
2026-06-20 06:32:50
10
zenakibali :
Ndiyo nini sasa kulizana jamani
2026-06-19 19:33:13
6
chalome love❤🧚♂️ :
Jmn sijui nalia nn at😭😭
2026-06-19 20:57:52
9
Mommy Shebby❤️ :
mungu niwekee wazazi wang katk cku kama hii🥺
2026-06-19 20:12:49
7
🫶Tabasamu🥰🫶 :
nmelia na nm 😢🥺
2026-06-19 19:01:14
7
zainisha alliy :
υო౿𐓣ꪱᜒᥣꪱᜒʑɑ ⍵౿⍵౿ ᑲ⍵ɑ𐓣ɑ harusi😭😭😭
2026-06-19 17:18:28
8
To see more videos from user @amirathysaid, please go to the Tikwm
homepage.