Nafsi inatumika na Higher consciousness.. na mwili inatumika Sana na low consciousness.. tatizo tamaa inatuponza mpaka low conscious ness inazifunga zile chakra alafu tunabakia bila chagi au network..simu bila network niyakucheza game tu.. tunatumika mbaya na adui sababu tumejinga fikra pamoja na nafsi zetu