@mshindo_tv: Waziri wa nchi Afisi ya Rais tamisemi Zanzibar Mhe, Idrisa Kitwana Mustafa Amesema Kama kuna mtu anadhani muungano huu utavunjika Basi asahau jambo ilo. Mhe, Kitwana Akitoa Mchango wake wakati akichangia HOTUBA ya BAJETI YA SEREKALI KUU YA ZANZIBAR Amesema muungano huu ni maisha ya watu. #MshindoMedia #MshindoTv

Mshindo tv
Mshindo tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 08:43:38 GMT
174238
7797
354
421

Music

Download

Comments

saidabdulrahmn
Said Abdulrahmn :
kwa uwezo wa mwenyez mungu utavunjika 2 one day
2026-06-19 10:10:32
127
hamidsaid10
Hamid Said :
yeye mwenyewe mkuja
2026-06-19 09:19:53
37
haithamjailan
Vanessa :
asante
2026-06-21 12:42:39
0
binzubeir
Bin Zubeir Official :
ww sio mzanzibar
2026-06-19 11:01:32
47
dangotethomas80
004 tourguider :
Kila Mzanzibar ni Mtanzania ila Si kila Mtanzania ni Mzanzibar hii kauli uwa inaniuma sana tunapitia Mengi sana Like tu ndugu yangu.
2026-06-19 17:22:28
66
ahmadabdulmalik756
@malik756 :
Allah akupe maisha marefu Dua 🤲 zangu zipo nawe Mhe,Kitwana
2026-06-19 12:08:43
54
user7713985082410
user7713985082410 :
Muungano uvunjwe
2026-06-19 14:04:29
20
issarashidi176
Issaya43 :
mm na amin hakuna kilichokuwa hakina mwisho
2026-06-19 10:30:22
25
mwajumawaziri151
mynah :
wanaanza kupona sasa
2026-06-19 10:30:36
13
masuzyatz
Masuzya tz :
utavunjika 2
2026-06-19 14:39:10
12
kwacha.kweupe
kwacha kweupe :
Yah Allah nakuomba uniingize peponi kwa rehma zako
2026-06-19 10:02:10
26
user9704025686250
Nassir :
Haya saw kwa mungu iwe unajuwa kuongea km hivo
2026-06-19 11:22:04
14
fatina.salum4
Fatina Salum :
Mwnaume Aliyetimamu Alie Nyonya Ziwa Miaka Miwili Akashiba Mungu Akupe Uhai Mrefu Wenye Manufaa 🙏🏽🤲🏼
2026-06-21 06:03:46
10
cheela.umaar
Cheela Umaar :
Idris kitwana 🥰🥰oyeeeeee
2026-06-19 14:53:55
7
saumu.ramadhani634
shiner :
saf sana baba umenena vyema mungu akulinde
2026-06-19 12:30:38
9
user115173144269
Jaffar :
mungu akuzidishie mkuu
2026-06-19 14:33:53
7
lilu.class
Lilu class :
utavunjika tu inshaallah Auna faida
2026-06-19 14:09:25
7
q_mojo
Q_mojo :
dah innalillah waina ilaihi raajioun
2026-06-19 14:20:33
8
iyahbrown
iyahbrown :
utavunjika
2026-06-19 14:09:27
4
marry.eliasi
maria mjanja :
hongera mweshimiwa kitwana mungu yu pamoja nawe
2026-06-19 14:48:41
7
cutemayaofficial3
maya@cute🥰 :
zanzibar na Tanzania au zanzibar na tanganyika
2026-06-19 08:54:06
6
hamidhajimakame
Hamid Haji Makame :
Mhe. Waziri asante kwa elimu ya nani Mzanzibari. Kila Mzanzibari ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibari
2026-06-20 23:45:13
3
kalu1806
kalu :
we unaa akili
2026-06-21 12:10:05
1
husseinsadiki
husseinsadiki :
Baaasi kuna nini tena!!
2026-06-20 07:45:40
1
lawrence.koba
Lawrence Koba :
Umenifurahisha sana kwa Ulivyo changia safi sana 👍👍.Sisi wote ni Ndg
2026-06-19 19:20:40
4
To see more videos from user @mshindo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About