Wale wa taarifa hapo hawaelew hata kinachozungumzwa
2026-06-19 16:29:42
16
.Frank Shinje :
professor sospeter Muhongo
2026-06-19 18:01:43
3
ntaliyo :
Asante sana Prof. Unaesimamia taaluma yako sio Wale Ma professor wamekalia Uchawa Huku Taifa likiangamia Hata kama ni Nyeupe wanalazimisha iwe Nyeusi Mko kimyaa Munaachama tuu Madine yanatolewa sioni Mwishimiwaaa taarifa😂😂😂😂😂 Muko wapi? Hawajui hayoo sijui? Acheni kumwongezea Maskini wa Mwisho Kodi Kama utitili Last erner hawezi kujenga barabara Kwa kumtoza Kodi ya bukubuku tuwe silious. Rasilimali za Nchi hii zimejaa Kila Kona ila Hatuelewi Dira yake Mianya ya wapigaji ni rate kubwa kuliko Pato la Taifa
2026-06-19 18:54:53
2
Dukaafrika :
hata anavoongea na kuwasilisha hojanwala atumii sauti Kali kama wengine 😂
2026-06-19 18:37:51
3
kashasha :
kweli hapo huwez sikia mheshimiwa taarifa
2026-06-19 18:09:30
2
😎😎😎 :
Sasa unawapa hoja watu hawaelewi watakuelewaje
2026-06-19 17:52:52
5
Matt O'Brien :
kama hamjui nataka niwasanue , vipindi vya masomo ya sayansi n vichache kuliko vipindi vya somo la lugha katika shule zetu
2026-06-19 19:01:04
1
dcalvinbarakka :
Hii baba levo achangii😅
2026-06-19 15:06:49
5
SHONDE :
Hahhhhh hapa hakuna nywinywiii Wala nn
2026-06-19 17:40:59
2
D19 :
sasa hivi ndizo vitu tunavyovitaka sio kujadili kuhusu kuwaleta wachezaji maharufu tu
2026-06-19 18:38:12
1
✨gatho_tech🇹🇿 :
Tarifaa mweshimiwa🤣🤣🤣
2026-06-19 18:34:42
1
Dizo man :
taarifaa mwenyekiti tafadhdri
2026-06-19 18:22:44
1
⚫️ 🐈⬛️ :
Sasa wanajua hesabu
2026-06-19 18:56:06
1
ole stevoo :
technically ametuita masikini akiwa na data za kutosha kutothubutu kumpinga... 😂😂😂
2026-06-19 18:35:54
4
user3716056531071 :
taarifa mueshimiws speaker taarifa
2026-06-19 17:38:36
1
eliya kimaro :
sio baba levo anaongelea kwenye bung3 haki za wanaume nani kamwambia wanaume tunahitaji haki amalize tofauti na mke wake
2026-06-19 18:05:48
0
Sheikh Zubeir :
Mh Taaaaaaaaaaarifaaaaaaa
2026-06-19 18:57:10
2
BWAKILLA :
Kuna welioelimika mengine wameudhulia shuleni.
2026-06-19 18:48:55
1
Viewjustcode :
Nimegawa mshahara wangu wa mwezi mmoja kwa siku 30 nimejikuta niko kwenye percentage ya umasikini 😅
2026-06-19 18:20:42
3
CalmElias :
Asante sana Mzee
2026-06-19 11:40:07
1
Private Joker 😎 :
hapo ukiskia mtu kasema taarifa..ujue chat gpt inahusika😄
2026-06-19 18:04:50
1
balozi :
wanao sababisha yote haya ni ccm
2026-06-19 14:58:01
2
sayukitztv :
Akitoa taarifa hapa niitwe Amina.
2026-06-19 18:00:46
1
To see more videos from user @tevar_demas, please go to the Tikwm
homepage.