@bbmtvtanzania: Mrembo Ginah @ginah_tz12 amefunguka jinsi alivyoingizwa mjini na mganga tapeli aliyemwahidi dawa ya kupendwa na wanaume matajiri Dar es Salaam. Ginga anasimulia kuwa mganga huyo alimtaka avue nguo zote na kushiriki naye tendo la ndoa usiku kucha ili dawa hiyo ifanye kazi, lakini asubuhi ilipofika aligundua amepigwa mkenge baada ya mganga huyo kutokomea kusikojulikana. Nini maoni yako kuhusu tabia ya baadhi ya watu kuamini waganga ili kupata utajiri au wapenzi wenye pesa? Credit: @hotdroptv_ #fypppppppppppppppppppppppppppppp #fyp #viral #tiktok