@mohamedhafidh_tz: Kama umewahi kujiuliza "C++ au Java?", ujue hauko peke yako. Lakini huenda swali muhimu zaidi si hilo. Tazama video hii mpaka mwisho, huenda ikakusaidia kuanza coding bila kuendelea kuchelewa. Full Video YouTube (Mohamed Hafidh Tz). . . . #foryou #programming #coding #swahilitiktok #kenyan

Mohamed Hafidh
Mohamed Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 09:29:22 GMT
4863
338
26
6

Music

Download

Comments

benedicto.kayanda
BENEDICTO KAYANDA :
kak mm hap nimeshasoma all tuctorial ya python but i dont able to creat small project just advace me how i'll able to applay to create atleast small project
2026-06-19 14:35:31
3
jamessm67
SJames :
code hana issue kuijua tena mpe maelekezo AI anakuandikia code kisha una copy unapaste then una run halaf kitu kinatokea
2026-06-19 20:32:57
1
king.d995
King D :
bro me nahitaji kujuwa kuhusu brute force
2026-07-26 05:31:21
1
feilasuf
F E I S A L Y :
MASTER🙌
2026-06-28 16:48:36
1
gakano_jesus
~gabrielle :
code zote ni bora sana kwasababu zote zinatumika kwenye code
2026-06-22 21:13:24
1
patish651
kiddo :
me nimeanza na c
2026-07-05 16:58:33
1
lil_trent_66
wonder kid :
brother samahan mm ni beginner nakupataje.Nakuomba 🥺
2026-06-20 07:13:15
1
sheby_011
sheby 01 :
python blo😁😁
2026-06-20 11:26:20
0
mohamedally788
Mohamed Ally :
𝕓𝕣𝕠 𝕟𝕦𝕞𝕓𝕖𝕣 𝕡𝕝𝕖𝕒𝕤𝕖
2026-06-19 20:23:24
0
football.highligh104
Football Highlights TV :
Kaka me nataka kutengeneza application,naomb ushauri
2026-06-19 09:35:45
1
codetz485
Code Tz :
C++ ni better kwa Software development na Java ni better kwa Application development sasabu OS kama window, Adobe C++ imetumika sana na baadhi ya programming kama php nahisi pia na java ime created kutoka C++ sema Kuna zingine zina combine lugha Zaid ya mbili
2026-06-19 18:46:46
1
abilahzuberi
ABILAH ZUBERI :
je inakuje wanaotumia C# je sio bora
2026-08-03 11:09:21
1
albertkhani
Albert khan :
tupo wengi tujaribu hii. https://wsendy.download
2026-07-16 17:29:30
0
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About