@faith.brandy: Aaaah @WemaSepetu Kama wakenya tumefurahi sana na Asante kwa ukatibisho mzuri. Wema kasema tuwafikishie salamu ❤️. Mama yetu @qween mom❤️❤️❤️❤️ wewe no Queen kweli nakupenda bure kipenzi.
jmn mshono sio lzm uwe wa operation....huenda ni mshono wa kuongezwa njia t jmn🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-20 08:08:56
19
Mwaidi 23 :
Hongera dada umejikaza Kwa mimba ya nwanzo halafu operation mmmm.Mungu akuzidishie
2026-06-19 17:40:51
343
🦋ÐøpèQùèèn🦋 :
mumemuona lolah jamani🥰🥰
2026-06-19 18:22:02
212
mwana :
samani jamani mtoto dada wema anaitwa nani
2026-06-20 08:06:53
4
bittybitty :
Congratulations to Wema🥰🥰🥰
2026-06-19 13:13:47
17
cycy _official :
10/10
2026-06-20 04:24:33
2
queen :
mshono wa mtoto wa pili ndiyo kiboko mpenzi wangu unaumabalaa
2026-06-19 19:21:25
11
kidawa chambo :
siku ya kwanza ya kushonwa huis maumivu sababu ya ganz sasa imeisha umekil unatulia😂😂🥰 furaha kwetu sote hongera sana wema🥰🥰🥰
2026-06-19 18:17:04
88
jacklinegabriel12 :
Yaani mshono utaujua tu ukaaji wake lazima ujiinamie dah sitamani kukumbuka😂🙌🙌
2026-06-20 04:56:29
15
officiallydidah :
Ila tulio zoea hospitali za kawaida tunaona ajabu yeye kuwa strong nyie tutafute hela aliza wifi angu hospitali za bei na huduma nzuri alitoka kama sio alie fanyiwa C/S
2026-06-20 04:56:19
17
babygirl😉🫶 :
kumbe opareshen
2026-06-19 17:37:55
47
Zahra :
uvae socks bc
2026-06-19 18:07:42
22
rukiy :
nyiye upareshen awe vile
2026-06-19 19:01:07
10
parvy_124 :
jitahidi ufunge taratibu ka mchono kipenzi,maana Mungu ameshakufungulia uzao,utapona mami usijari
2026-06-19 19:13:31
13
Dativa Mamku :
dada mshono jamani kweli
2026-06-19 20:09:32
8
user122671117202 :
Tuliya kipenzi mushono ipone a
2026-06-19 21:41:11
0
mwana :
ollie maana yake nn
2026-06-20 08:09:26
3
Mwaidi 23 :
Nifahamisheni hospitali iyo yenye dawa usiyosikia uxhungu
2026-06-20 05:03:35
1
Triple B Shineh :
cs na hekaheka? mhhhhhh
2026-06-19 19:08:40
7
user##00001 :
Wee kama umezaa na kijembe pole sana na mende mtoto wako🥰
2026-06-19 17:40:55
7
be twalhaty 🌺🌺🍀🍀 :
saiz nimeamin pole na hongera
2026-06-19 17:56:06
5
Kiota Kinds :
jmn mshono mwenetu
2026-06-20 06:59:24
2
Tatu knotles❤ :
Mshono ukiuona unajua?
2026-06-19 21:17:03
0
daty :
mshono umechacha na ayo mafuta mnayotumiaga..ila nipo happy for you
2026-06-20 06:47:23
0
smart :
huyu wema nampenda Yani tangu amejifungua anafuraha Yani hata yale maumivu hayaoni🥰
2026-06-20 06:07:23
2
To see more videos from user @faith.brandy, please go to the Tikwm
homepage.