@sauti_ya_duniatv0: #creatorsearchinsights #Sautiyaduniatv #mangekimambi #tanzaniantiktok #FYP

Sauti ya Dunia TV
Sauti ya Dunia TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 09:53:24 GMT
117236
4428
385
717

Music

Download

Comments

raum.said
RAUM🌺SAID.... :
mimi ni mzanzibar tena mpemba ilaa ukweli sija penda hili jambo linalo tokea zanzibar hebu tuacheni ubaguzi jaman 🙏🙏🙏
2026-06-19 14:30:27
116
fatmaalikhatib
tuma ali :
mimi ni mzanzibar ila sijapenda🥺
2026-06-19 13:00:50
96
miss_sophi1
Sophia :
😳😳😳ssi kama watanganyika tunasema Asante 😭
2026-06-19 14:22:41
74
angelina.nyole
Angelina Nyole :
watanganyi mshee hii video
2026-06-19 11:15:11
69
peter.basili
PETER BASILI🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪 :
jambo hili ni baya mno naiona kesho isiyo na nuru kwa taifa
2026-06-19 10:00:38
41
fbi.masenture
FBI masenture :
saf sana kila mtu kwao
2026-06-19 15:17:36
11
zurrywassou2
zurry wassou💋 :
Ee mungu bariki wazimiwe umeme
2026-06-19 14:40:03
25
mathew.maiko
mathew maiko :
kama watanganyika.tunasema asante
2026-06-19 15:48:04
13
user95801967547064
cleophace :
wabaguzi sana
2026-06-19 10:58:07
15
bagatezekielbenjamin27
Bagat 20013959 :
kwani yeye Raisi anasemaje??
2026-06-19 15:57:27
2
ariff0004
ariff0004 :
Safi
2026-06-19 14:01:09
5
ozeelability
Ø𝑧𝑒𝑒𝑙 Å𝑏𝑖𝑙𝑖𝑡𝑦 7 :
ndo tunavotaka
2026-06-19 10:09:15
7
user7322708749169
malkia2026 :
miminimzanzibari nawazadar natokaje
2026-06-19 17:56:07
0
lumbert15
lumbert :
Jamani Njooni Home
2026-06-19 10:21:15
6
2024macsam
MACSAM :
Kama ndivyo basi ni hatari sana
2026-06-19 11:05:03
7
muddyfuoni
user56032532530522 :
mimi nipo Zenj ila sijaona hii kitu
2026-06-19 17:39:03
0
user78624792269186
Shakiru Dauda :
Hii mbona imekaa pw sana wakuu, hatutak muungano
2026-06-19 15:47:13
8
user1944603456112
FAHIM LII :
dah maskini mm ni mzanzibar lakini sjapenda ata kidgo haya ni maisha tuuh waacheni wtu watafute rizki zao jamani
2026-06-19 16:57:23
0
user86197756380
Mohammedy DSM :
hiii ni kwel au
2026-06-19 16:16:38
4
hamdan79376
HAMDAN SOUND 🎶 🎵 :
wabinaf sana hawa watu
2026-06-19 17:00:36
0
jobson_1990
Jonson_34 :
tuanzie hapo hapo
2026-06-19 17:21:45
0
user74477515033042
user74477515033042 :
Waite media ilo swala sio la kulikalia kimya
2026-06-19 15:39:46
6
user7037763936865
Black beauty 🙈🙈 :
Nilijua utani dar
2026-06-19 15:25:07
3
To see more videos from user @sauti_ya_duniatv0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About