@domihealthcare: Kula haraka bila kutafuna chakula vizuri. Kula chakula kingi kwa wakati mmoja. Kunywa vinywaji vya gesi (soda na energy drinks). Kutafuna bigijii (chewing gum) mara kwa mara. Kuvuta sigara#fyppppppppppppppppppppppp #creatorsearchinsight #tiktokviral