@barz_2111: Hip Hop halisi haijawahi kufa. Kila mstari una jibu lake, ukiwa na swali lolote kuhusu muziki huu... Niulize Mimi! 🔥🗣️ Chuma kipo hewani sasa hivi. Nenda kwenye bio yangu kusikiliza yote kisha dondosha comment hapa chini kuniambia mstari gani umekunyoosha zaidi! 👇🎧 @mocky_beats 🎹 . . . #NiulizeMimi #bongoiphop #hiphoptanzania #kiswahilihiphop #realhiphop
BARZ!
Region: TZ
Friday 19 June 2026 10:07:06 GMT
Music
Download
Comments
Mex Cortez :
mantiki🔥
2026-06-23 07:28:09
5
mnyaru 02🌄 :
kwishaaaa🔥🔥🔥🔥 hip-hop iko mikono salama💯💯, hip-hop never die🎧🎧
2026-06-21 14:07:36
1
mamen toto💀 :
hip-hop 4 life
2026-06-28 09:29:54
0
Songe Boy :
hii video inamonekano mbovu ungeweka picha tu ngoma kali
2026-06-21 18:34:24
2
BOB JAMA C :
mbona hii ngoma na hii beat km ina fanana na ya Nash mc hile ya mitihan ipo vizuri jibaba 🙌🙌
2026-06-21 16:55:08
2
Zizou De :
jina la ngoma
2026-06-25 12:15:29
0
OLD NIFE💯 :
jina la nyimboo wakuu
2026-06-22 16:46:46
1
vunga hamisi :
mantik kk
2026-06-24 11:00:33
1
DTATTOOTZ 🇹🇿 :
woooow nomaaaaaaaaaaa
2026-06-21 10:21:58
0
MICK SKR$ :
2026-06-23 13:09:58
1
Goodluck Mlau :
Respect King.....
Umeitembele beat kiuhakika....
2026-06-28 05:55:46
0
Mozz Biz :
From Kenya 🇰🇪 Mombasa NOMA NA NUSU
2026-06-23 19:25:21
1
mk🛠 0utomotive :
ToP
2026-06-27 09:50:03
0
abou :
hop never die
2026-06-25 10:18:11
0
VentureB20 :
Chochote Kuhusu Mimi Niulize Mimi
2026-06-19 10:13:18
1
Mun.jo :
mantikibar
2026-06-25 02:47:59
0
MICky :
HIP HOP
2026-06-24 14:25:42
0
Ollachuga OG :
noma G 🔥🔥
2026-06-20 06:30:13
1
thewritter16 :
Achana na WANAFIKI…..niulize Mimi👍♥️
2026-06-24 19:39:24
0
rado :
nash mc ..mitihani ..ila big up
2026-06-28 14:34:19
0
thewritter16 :
Unatikisa mibuyu Mwanangu🌞🇹🇿🇹🇿🇹🇿✍🏾💪🏾🔥💰
2026-06-24 19:40:23
0
Ollachuga OG :
niulizie Mimi 🔥
2026-06-20 06:30:41
1
Wisky mavazzy🔥 :
Noma sana🔥
2026-06-19 10:16:17
1
To see more videos from user @barz_2111, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.