@bongofive: Mume wa muigizaji @chanuonchakali amefunguka kununua #Benz yenye thamani ya milioni 250 kwa mke wake @chanuonchakali , ikumbukwe mume wa chanuo nae ni Msanii wa Bongofleva @yjkiboko Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wa YouTube Bongofive
Bongofive
Region: TZ
Friday 19 June 2026 10:13:55 GMT
Music
Download
Comments
BMG GYM :
a few moment later 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 02:16:11
0
HUU❤️💋🫂 :
iiiiiiiiiii 250 😄😄😄😄😄😄🙌
2026-09-02 20:32:27
2
@Happy chifunda :
wap madebe
2026-07-10 08:13:29
0
Hellen.Unique cloth Designer💃 :
Bora usingempa gari 😂😂😂 ila mapenzi
2026-09-01 05:32:28
7
Its rosee🦋💋🦋 :
watu wa nene kwa mapenzi ya kweli
2026-06-19 15:37:38
18
Sd_majid :
Million 250 we kuma nn😂
2026-06-19 14:48:51
11
edsontweve1 :
uongo huu
2026-09-04 15:34:51
0
hancyiss :
madebe typing
2026-06-19 11:05:57
0
xtrugy :
kila penzi litaonja umauti😳
2026-09-03 20:37:12
0
SabraMuccadam :
Hongera sana
2026-06-20 08:25:05
1
Binti wa Tz✅ :
Yaani apa chanuo alikuwa anamuhesabia siku tu😂😂😂😂😂😂
2026-09-04 06:47:31
0
abdulwahidmwinyi1 :
🤣🤣🤣🤣bongo heee nakuogopa
2026-09-03 17:30:40
0
manchuse305 :
RIP
2026-09-01 15:17:48
1
Amina beuti salon :
Hapa mlifanyaje
2026-09-01 07:58:14
2
Y-25 :
Dhawadi za kunimaliza siyo
2026-09-04 10:55:57
0
Irene :
kaka naomba mimi nije nishike nafas ya chanuo unipe gali
2026-09-04 17:35:46
1
RAJABU mbaraka :
kama SIO YEYE
2026-09-02 08:42:04
1
pendo_manjenga :
mmmmh atali
2026-06-19 18:26:56
1
clean job :
mwanaume anaupendo Sana hatak mke wake awena huzun chanuo mpemde sana huyo bab
2026-06-20 07:47:47
1
aggy :
Jamni hiyo nindogo kweli? Huna baya kakaangu🥰🥰🥰
2026-06-21 12:50:53
0
lowlyjoseph :
jamaaa alijimalizaaaa
2026-09-03 20:22:16
0
Candy 🍬 :
mungu ni mwema
2026-07-11 17:28:00
0
Stanley Safe🦅 :
kiko wapi😂😂😂
2026-09-01 21:20:33
0
upendo :
chanuo aache dharau akumbuke alipotoka kaka wawatu kamtengenezea maisha
2026-09-03 15:20:38
0
Leila Mwidini :
ungeza mapenzi mama❤️❤️
2026-06-19 11:29:17
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.