@siasatz: Wamemzunguka Baba yao wenyewe hadi raha yani🙌🏻. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mhe. Fagason Aron Nkingwa anatoa somo la vijana kuacha uvivu kwenye kuifanya kazi tuliyotumwa na Mungu. Nyie mnaotaka kuuliza kuhusu Bima ya Bunge hapa sio mahala pake eboooo🚶🏼. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 10:42:56 GMT
6712
197
6
24

Music

Download

Comments

jumadaud119
Jumadaud :
hongerasana
2026-06-19 11:05:01
1
shubiraigakinga
Shubira Igakinga :
ila Kila mmoja anapata huduma
2026-06-19 14:23:42
0
user4703277505141
HasaniTZ :
Respect 🫡🫡
2026-06-19 12:29:58
0
asaelectricalservices0
asaelectricalservices0 :
ulikuwepo ayupu humu
2026-06-19 12:33:47
0
philimonmasangu
philimonmasangu95 :
wawooo nampenda hio
2026-06-19 11:27:03
0
mtambo.mtambo
mtambo mtambo :
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah
2026-06-19 12:25:22
0
sheru2284
Sheru2 :
ana pesa nyingi? ktk kulea,maana elimu.,hostality,chakula,hao wake matunzo, sasa je ajira zote,sita beba watu wa familia ya mtu mmoja?.Kila mbunge ana watoto.wangapi?kila waziri.ana watoto wangapi?je ajira ,si wata pewa watoto wa viongozi kwanza?.je raia nao? waki.zaa kama hivo? wata weza kulea makuhudumia?.je.ajira.watoto.wa.maskini wata pata?.Mmmh,haya mke mkubwa nae ana pumua kweli na ulezi huo.Mmmh.
2026-06-19 11:37:42
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About