Habari. ninapenda na ninafwatilia sana kazi zako ninakupa hongera kwa kazi nzuri na kujituma kwako kama kijana unastahili kuwa mfana kwa vijana wengine .lakini pia ktk kila mafanikio hapakosi changamoto .ushauri wangu kwako .....Zingati usalama mahala pa kazi hapo ulipo simama siyo salama tumia ngazi na pia nimeona umevaa clas inayo kukinga macho ila katika clp iliyo pita kijana aliye kua anatoboa hiyo vishimo na kutoa waya hakua na kifaa ki achomkinga macho kitu ambacho ni hatari kwa afya ya macho yake. ...vinginevyo hongera sana sana
2026-06-19 12:41:25
2
EMALU.ZAGABOYE :
kaz nzur kakin kumbuka na zingatia sana kukatua Grender bila casing ya disc please 🙏🏻 utakujeruhi ikiruka hapo
2026-06-19 14:01:47
0
Js 14 :
✌️✌️✌️
2026-06-19 12:18:39
1
nebioth💫📌 :
🔥🔥🔥
2026-06-19 13:19:46
1
Emanuel Mlay :
👍
2026-06-19 20:56:47
0
To see more videos from user @sonmsouth, please go to the Tikwm
homepage.