@paulinmkama: Some of us tunaguswa sana na huu wimbo, wengi wetu hatukupata hata gap la kuuguza tu baba zetu, unapata network unambiwa akifika kesho bahati na upo katikati ya pori , you end up going kwenye msiba tu... 💔💔💔 , However Tunamshukuru Mungu kwa kila Jambo 🕊️🕊️🕊️

paulinmkama
paulinmkama
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 11:15:32 GMT
2637
139
6
4

Music

Download

Comments

jaminahhamis
jaminah hamis :
kweli dada angu 😭😭
2026-06-19 13:28:07
1
bushlover01
Bush love safaris :
Hima hima. 🇹🇿
2026-06-19 17:06:51
1
mamafa2015
Luchebera :
Yaaa pau, umegusa moyo wangu sana any way tuendelee kunywa maji mtoli tutaukuta chini💔
2026-06-19 15:23:22
1
To see more videos from user @paulinmkama, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About