@utukufu.dental.cl: HUU NI UKWELI MCHUNGU! Kuna uchafu mgumu kwenye meno yako ambao huwa hautoki kwa kutumia mswaki wa kawaida. Hivyo unapaswa kufanya usafi wa kitaalamu wa meno (DENTAL CLEANING) angalau mara mbili kwa mwaka. Huduma hii ya SCALING AND POLISHING inaondoa tabaka gumu la uchafu (tartar) na mabaki ya chakula yaliyoganda (plague) ambayo mswaki wako wa kawaida hauwezi kabisa kuyaondoa. Kumbuka OFA YETU YA MWEZI JUNE bado inaendelea hapa UTUKUFU DENTAL CLINIC. Fanya maamuzi sasa! #fypシ #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #menomeupe #dentalclinic