Diamond platinumz vs NOEL
Nandy. vs. ANKO T
harmonize. vs juma lokole
Ally Kiba vs mwijaku
2026-07-14 20:12:58
35
@_ngasamachiya24# :
kwel kabisa bro tatzo viongoz wetu wapo kimya hicho kinanikela sana 🥰🥰🥰🥰
2026-06-20 15:29:52
105
Ronia❤️🔥💊 :
NANDY na ANKO T mnaitwaaaa
2026-07-01 08:26:16
43
rukia54787 :
yaaan unawaza kama mm kila siku najiuliza nakosa jibu
2026-07-07 12:50:24
44
🌸 :
siwapendi
2026-07-14 05:45:15
17
mrs p,,🙏🙏 :
Ni kwa sababu wote ndo haohao kaka😭😭😭
2026-07-15 13:40:39
12
Dhia brown :
mungu akubariki wewe kaka
2026-06-19 18:05:14
47
dct lungwetz :
mzee respect umeongea fact sana tena kwa isia unachokisema ndicho kilichopo
2026-06-21 17:57:25
29
imma the boy@2002 :
KAKA NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA
2026-07-15 05:25:39
11
siza :
🤲🤲🤲🤲🤲allah atulindie vizazi vyetu
2026-06-20 04:35:30
17
Bob Marwa :
umeongea points sana kaka
2026-07-11 13:04:29
12
Mamu ibu :
Uishi maisha marefu broo kenny
2026-06-22 21:02:02
15
A.p.l.o.s.t.o🔱 :
wao ndo wanawakula
2026-06-19 11:36:26
11
Mili :
li ako .T. hilooooo
2026-07-09 20:56:30
5
Kurusum Kasim :
kweri kbsa
2026-06-19 11:35:00
5
velonika :
kaka umeongea kwauchung sana mngu akulinde
2026-07-05 15:36:01
6
monamo💦💧 :
wewe kaka mungu akupe mahitaji ya moyo wako 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 ninamtoto wa kiume nawaza mengi sana mimi ni binti mdogo duh
2026-06-19 18:24:59
5
anwary omary :
ilo nalo nenoo
2026-07-03 19:12:56
3
Shaban Ramadhan :
maisha ya leo zingatia familia yako lea tunza wafundishe dini wema ya dunia huyawezi bina dam wa sasa
2026-07-15 15:22:18
4
lisa10 :
na hao wasanii ety tunawaita kioo Cha jamii,duh!!
2026-07-14 22:00:38
4
cee💔 :
Nao ni watu kama wewe usione kama ww ni bora kuliko wao kila mtu anamakosa yake na dhambi zake lakini usiwaseme kwa mabaya bali tuwaombeee kwa mabaya yao mungu awasaidieee hata sisi tunamakosa mengi na makubwa kuliko wanayofanya yao infact mungu atusaidie sana kaka
2026-07-16 10:58:53
1
IJONJOA :
Mbona wanainchi ndio mnapambana sana na hii tabia. serikali yenye nguvu kuliko wanainchi katika kulikomesha tatizo hili imenyamaza kimya kuna nini ?💯
2026-07-14 20:03:12
1
Ayoub Christopher :
anasema kama nimemtuma mm
2026-07-14 22:36:49
3
To see more videos from user @mosmartshaweji16, please go to the Tikwm
homepage.