@uhondo.tv: Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amesema sekta isiyo rasmi inayojumuisha bodaboda, bajaji na machinga ina uwezo mkubwa wa kiuchumi na inaweza kushiriki moja kwa moja katika kuchangia maendeleo ya miundombinu nchini ikiwemo ujenzi wa barabara. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, Mwalunenge amesema makundi hayo hayapaswi kuonekana kama maskini bali ni sehemu muhimu ya uchumi wa taifa. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 11:55:58 GMT
2006
49
1
1

Music

Download

Comments

atupiye8
Attuu-@ :
😅😅😅 Oyaaaa
2026-06-19 12:20:46
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About