Watu waacha wakezao majumbani na bado waziniwa if Kama umeoa mke mwenye dini na imani akimbiwa hayo atarudu nyumbani na atafute kwengine. Lakini mungu kama amekupa ilmu na nafasi ya kufanya kazi fanya muhimu Allah na misingi yake iweke mbele.
2026-06-19 17:57:22
3
safia hamudun :
Very true🙏🙏👍💯
2026-06-19 18:29:18
3
muhash21 :
mashallah sheikh oboo💯
2026-06-19 18:10:47
1
Mejuamaa juma Bakari :
💯 💯 shekh umesema kweli
2026-06-19 18:09:30
1
Momo Kanj :
walk the talk don't talk the walk , gotta holes to be punched, talk is cheap unless you hire a lawyer so anyone can yap but how does one live his or her life it what that matters
2026-06-19 19:22:07
0
shemtoi🇹🇿🇹🇿🫡☪️ :
subuhhana llah khatar kubwa sana
2026-06-19 12:30:12
1
gulu :
A.a Wacha akifikaa kaburini ndiyo atajuwa
2026-06-19 16:49:27
1
swaleh juma :
sad reality sheikh wetu Allah aza wajjala amuhifadhi
2026-06-19 19:41:25
0
Cute-Bajun 005 :
wanaume wameacha majukumu.. wasababisha unafiki Huu pia. Na upungufu Wa imaan.
2026-06-19 18:54:57
0
juma :
huo ndio ukweli usio pingika 💯💯💯
2026-06-19 18:40:22
0
mishibebz :
Allah atuongoze
2026-06-19 18:15:37
0
@officiallythabitic :
subhanallah 🙏🥺
2026-06-19 18:15:23
0
Nurdin :
Kuleni iyo 50 si lazima kula mia, ushasema sheikh
2026-06-19 17:35:07
0
gwarugwaru :
kwali kabisa hayo maneno
2026-06-19 16:22:54
0
Juma Abdalla :
lazima. tuwe. na. imani
2026-06-19 18:15:57
0
daa ruu :
wallahi iyo ni kweli
2026-06-19 17:59:09
0
safia hamudun :
Subhanallah😱😱🫢🫢
2026-06-19 18:28:30
0
D.O ONE JAJARA DIIRA :
ustadhi very true
2026-06-19 17:41:04
0
faizailyas112 :
wako wapi wanaume Kama Hawa aje anistirii
2026-06-19 17:04:55
1
victoria :
swadakter haswa wanao nunua madagaa mpaka walale nanahodha
2026-06-19 19:53:22
0
ibnu bashiir :
🥰🥰🥰
2026-06-19 13:02:42
1
user3338667218775 :
💯💯💯
2026-06-19 18:57:00
0
To see more videos from user @yaaqubabdallah1, please go to the Tikwm
homepage.