@akili.education: Kwa mara ya kwanza tukiwa Toronto, tumepokea taarifa ambayo kwa upande mmoja ni mbaya, lakini kwa upande mwingine inaweza kuwa habari njema sana kwako. Kile chuo cha India ambacho nilikitembelea mwaka jana pamoja na Akili Education kimetutaarifu kwamba nafasi za kujiunga na kozi za: Bachelor in Cyber Security Bachelor in Artificial Intelligence na baadhi ya nafasi za Bachelor in Data Science zimeanza kuisha mapema kuliko ilivyotarajiwa. Kwa sasa zimebaki nafasi saba tu. Kusema ukweli, hii si ajabu. Hiki ni moja ya vyuo ambavyo tunavipenda sana kwa sababu tayari tuna wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma hapo, akiwemo Michelle Magongwa na wenzake. Kila tunapoongea nao, wanatupa mrejesho mzuri kuhusu mazingira ya masomo, ubora wa ufundishaji na maisha ya wanafunzi wa kimataifa. Ndiyo maana kila mwaka wanafunzi wengi wanapigania nafasi za kujiunga kwenye kozi hizi. Ukweli ni kwamba dunia ya leo inapiga kelele kuhusu Artificial Intelligence, Cyber Security na Data Science. Makampuni makubwa duniani yanatafuta wataalamu wa maeneo haya kila siku. Lakini nafasi za kusoma kwenye vyuo vizuri haziwezi kuongezeka kwa kasi sawa na mahitaji ya wanafunzi. Ndiyo maana wanaowahi kufanya maamuzi mapema huwa na nafasi kubwa zaidi ya kupata admission. Habari njema ni kwamba kozi hizi zinapatikana kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha: ✅ Ada ✅ Malazi ✅ Chakula Wakati wengine bado wanafikiria watachukua kozi gani, wengine tayari wanashikilia admission letters zao. Usisubiri mpaka matokeo yatoke, nafasi ziishe au uanze kutafuta chuo kwa haraka. Karibu Akili Education tukusaidie kujiunga na: 🎓 Bachelor in Cyber Security 🎓 Bachelor in Artificial Intelligence 🎓 Bachelor in Data Science Vyuo vizuri hujaa mapema. Na mara nyingi wanaochelewa ndiyo wanaobaki kusema, "Laiti ningejua mapema." 📞 0793939320 📍 Akili Education, ITV Road, Jengo la Neolife
Akili Education
Region: TZ
Friday 19 June 2026 12:27:04 GMT
Music
Download
Comments
Orresy Developer :
ni fully funded?
2026-06-20 18:20:42
1
Ideaman1311 :
nimeamua nikufollow
2026-07-01 06:56:16
0
joy :
hawatoi ufazili wa moja kwa moja?
2026-06-19 13:01:10
0
DENIS :
Ni kwa miaka mingapi?
2026-06-19 15:54:58
0
IT.Cyber :
Nakipenda sana icho chuo sent ndio ivo hatuna uwezo Ila uwezo upande wa cyber tunao tena hatar sana
2026-06-19 12:48:03
0
Akili Education :
😳😳😳
2026-06-19 12:33:57
0
To see more videos from user @akili.education, please go to the Tikwm
homepage.