@ngasatvdodoma: Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Fagason Aron, amewasili Bungeni jijini Dodoma akiwa ameongozana na watoto wake 15, huku mtoto wake wa mwisho akiwa na umri wa miaka sita. Akizungumza na waandishi wa habari, Aron amesema kuwa tangu akiwa mtoto alikuwa na ndoto ya kuwa na familia kubwa, na kwamba alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 17. Mbunge huyo ameeleza kuwa bado anatamani kuongeza idadi ya watoto wake na kufikia watoto 20 endapo Mungu atamjalia afya na maisha. “Tangu nikiwa mdogo nilikuwa na ndoto ya kuwa na watoto wengi. Kwa sasa nina watoto 15 na kama Mungu akipenda natamani kufikia watoto 20,” amesema Aron. Una maoni gani? Cdt @yasiningitu Kwa Huduma ya Matangazo ya Biashara Dodoma ili uweze Kupata wateja wengi zaidi Piga Simu 0716909567 @ngasamedia_dodoma

Ngasatvdodoma
Ngasatvdodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 19 June 2026 12:38:58 GMT
213827
5606
172
1141

Music

Download

Comments

mariamali7803
She 🩷_amou❤️ :
Kikubwa anawatunza hio nayo ni baraka
2026-06-19 13:41:40
182
elly.aman.ogola
Elly Aman Ogola :
hongera sana brother
2026-06-20 05:46:25
0
officialtety1
JAY SHANIDEV :
linapenda ngono ili
2026-06-19 15:40:41
12
huseinomary192
zaho :
mama mmoja au
2026-06-19 13:45:12
8
nellykilua
Nelly Kilua :
sasa anaeongea ni nani hapo
2026-06-19 15:39:36
21
elhem.elhem11
Ghumrah 📚💉💊 :
huyu mbunge hongera yake sana sana
2026-06-19 14:22:19
27
mtensastore
GM ONE :
Salute 🫡 sana...ukizingatia ata kipato kinaruhusu 💯
2026-06-19 15:04:58
14
joyce.augustino12
Joyce Augustino :
Ana shida gani
2026-06-19 18:41:29
1
malaikazulu
Mama boy and girl dr malaika :
huyu mbunge ana roho nzuri sana kaona kwann nioe mke mmoja wakati wanawake wapo kibao mungu akutunze kwakupunguza idadi ya single
2026-06-19 16:08:45
10
chapo5159
chapo :
bunge la familia
2026-06-19 14:47:53
5
kelvinshirima6987
master kevo :
Bunge lafamilia
2026-06-19 14:02:22
7
qatarford
Keita Osama Qatara :
kwa wanawake wangapi???
2026-06-19 18:54:15
1
mswage88
mswage :
hata mimi sem dini tu
2026-06-19 17:19:02
0
crissking40
crissking525 :
safii sana
2026-06-19 22:49:10
2
user12309909197321
user12309909197321 :
Hongera sana
2026-06-19 21:10:15
0
user3184227876285
user3184227876285 :
hongera san
2026-06-19 19:48:42
0
boneklantz
Boneklantz ⚡ :
Role model
2026-06-19 22:00:41
0
giftkilasi305
giftkilasi305 :
my dream
2026-06-19 14:28:51
5
fadhilah.mazola
Mc Fey 🎤 :
Zaa Baba maisha unayo
2026-06-19 16:04:35
4
mynameis1900s
mkalimani :
safi sana
2026-06-19 21:27:43
1
unjuutransportation
Unjuu Transportation services :
Safi kabisa ❤️❤️❤️❤️❤️
2026-06-19 15:32:38
2
konki.jr2
KONKI JR :
Huyu,ndio rollmodo wangu kabisa
2026-06-19 21:57:01
1
user77270841294496
Moses baha :
36 watoto kumi na tano (15) nimeipenda hii for sure
2026-06-19 17:48:57
4
user34919335206103
LUQMAAN @#+.571@$& :
hongera sana brother mbunge huu ndio urijali
2026-06-19 19:59:14
3
To see more videos from user @ngasatvdodoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About