@sun_tz_u: Dkt. @SuluhuSamia ni kiongozi jasiri mwenye hekima na maono makubwa. Ameonyesha dhamira ya dhati katika kuwaletea Watanzania maendeleo, amani na ustawi wa taifa.
THANK YOU SO MUCH MAMA WA TAIFA KWA KWELI UMEIRUDISHA TANZANIA HEWANI . TUPO ONLINE MUDA WOTE KWAJILI YAKO MADAME PRESIDENT YOU ARE THE BEST PRESIDENT IN AFRICA. SO PROUD OF YOU. GOD BLESS YOU
Ni kweri kabisa tz ni salama kabisa naipenda inchi yangu najivunia Kuwa kwenye inchi ya amani 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-20 18:41:02
0
kaptain mbogo :
hakika Tanzania imepata katika mikono salama
Mungu ibariki Tanzania
2026-06-20 15:07:11
0
@Dunda.tz💲💱 :
mm na mama
2026-06-20 16:25:47
0
ezekielmichael278 :
Jpm...ulale buriani..tunakukumbuka kwa mengi sana..ila😌
2026-06-20 20:13:50
1
Mohamed Richard kagera Tanzani :
Mungu mkubwa Mungu akupe afia njema wapendwa raisi wetu
2026-06-20 20:35:36
0
Boaz Masatu :
Mwanadiplomasia wa kweli,,, Mama anaendelea kujenga uhusiano mzuri kati ya Tanzania na mataifa mengine katika kila kona ya ulimwengu,,, Samia ni mmoja tu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-06-20 15:10:50
0
Gnancy255 :
OUR PRESIDENT 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️
2026-06-20 16:49:23
1
Pabillion :
keep up we trust you
2026-06-20 12:39:57
0
Omary Sharif :
The Home of mount Kilimanjaro, Serengeti and spices Island of Zanzibar
2026-06-20 15:23:16
0
Kotapin master :
Mama tunaye na tunatamba nae #Sisinitanzania #Nchiyangukwanza #SamiaSuluhuHassan #VisitTanzania 🇹🇿🇹🇿❤️🙏
2026-06-20 18:41:04
0
Nelson Mng'ome :
R.I.P JPM father 😭😭😭
2026-06-19 14:21:51
6
Lone W olfx :
RIP JPM
2026-06-19 14:16:14
2
JOHNL FULUGE :
Kwa hakika Mh.Rais unaipigania nchi yetu kwa kuhakikisha Watalii wengi wanatembelea vivutio vyetu lakin pia kuweka mahusiano mazuri na Nchi nyingine. Asante mama
2026-06-20 15:27:45
0
DAVIS SHOP 🇹🇿 📊📉 :
RIP JPM
2026-06-21 14:08:14
0
amanisareheludang :
amlide kwakwelì maaanaa
2026-06-20 17:10:12
0
Kalila :
My president is the Mount Everest of a woman a woman king❤️🇹🇿
2026-06-20 15:00:31
1
To see more videos from user @sun_tz_u, please go to the Tikwm
homepage.