@thecircletok: "Jifunze kuishi wewe na si kuishi maisha ya wengine, maana kila hatua ya mafaniko unayoiona kwa mtu imelipiwa gharama" Je kuishi maisha yasiyo yako inakupa faidi gani katika akili yako? #Growthmindset #Thecircletok #realtalk #LifeLessons #RealChanges